Kwa i
Wewe unafikiri Finland itakufa njaa? Mnafurahia ufara wa fara fulani ambaye ameamua kuvamia nchi huru kibabe tu. Halafu nchi hiyo inapojitetea mnaumia. Misimamo mingine ni ya kishetani kabisa. Kama Idd Amin alivyovamia Kagera 1978, ulitaka Nyerere afanyeje kama siyo kutetea ardhi ya Tanzania?
[/QUOTE
Kwani Russia imevamia au ilishawai kuivami Finland??