Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

🙌🙌
Kwa hiyo wewe ndo mwenye hakimiliki ya kulaani siyo?

Vita vya Ukraine vimechochewa na hao unaowaabudu na kuwafanyia uchawa kenge uliyekosa manyoya[emoji35][emoji35]

🙌🙌
 
Hivi ni kwanini nchi tajiri kama hizo wanashindwa kujitengenezea vyanzo vya umeme wao hadi wategemee umeme wa nchi nyingine?
 
Wew kemea hiyo nchi iliyozivamia hizo nchi ulizotaja na sio uhalalishe uvamizi wa Russia huko Ukraine kwa makosa ya wengine. Eti " kwa nini umemuuwa huyu kijana"? Unajibu "nimemuuwa sababu amemgonga mwanangu na pkpk akamuuwa" UTAFUNGWA MKUU
Huna hata point
 
Mojawapo ya sababu za kuvunjika kwa USSR ni Waarabu. Marekani ilihakikisha OPEC wanazalisha mafuta mengi kwenye soko la dunia, mafuta yakawa mengi bei ikaporomoka, Soviet Union iliyotegemea mafuta na gesi kwenye uchumi wake ikapungua mapato. Kule Afghanistan kulianzishwa Mujahideen wapigane na USSR, Marekani kuona hivyo ikawapa silaha hasa MANPADS wapige helicopters za Urusi. Mwishowe wakaondoka Afghanistan na miaka michache wakavunja muungano wao.

Waarabu walikuwa watu muhimu kwa USSR hata silaha waliuziwa nyingi, kina Hafez al Assad (baba yake Bashar) na Saddam Hussein wakawa wanazitumia wanafeli ila USSR inasema tungekuwa nazo sisi wenyewe tungeshinda, nyinyi hamfanyi training ipasavyo. Leo hii pale Ukraine vifaru vya Urusi vinashiriki kwenye turret throwing championship.

Kwa sasa kina UAE wananunua Rafales kutoka Ufaransa, Qatar inanunua F-16 za Marekani, Saudi Arabia ndio kabisa ina kila kitu kutoka Marekani. Kidogo Egypt ndio inapenda silaha za Urusi ila nayo mwaka huu imefanya cancellation ya jets. Waarabu wanapunguza kuitegemea Russia
Uongo mtupu,haya ni mawazo Yako lkn sio uhalisia.
Usifikiri hatujui sababu za kuvunjika USSR .tuanajua sana.
 
Tutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wangejiandaa wangekuwa wananunua gasi kwa fedha ya russia hivi unajua maana halisi ya matumizi ya gesi ulaya?...
 
Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Kwanini nako hajavamia kijeshi kama alivyovamia Ukraine ?
 
Ukweli kulingana na nani au kwa vigezo vipi?
Shida yenu ni moja, hamtaki kukubali ukweli wa kwamba shetani kuu la ulimwengu huu ni marekani. Hilo jini kuu, limenyonya damu ya watu wengi wasio na hatia, kutia ndani Patrick Lumumba, katibu mkuu wa UN aliyefia Zambia; orodha ni ndefu. Sasa zamu yao imeanza kuwadia, ushauri ni kuwa, mtulie tu sindano iwaingie.
 
anachofanya Urusi ni mistake kubwa sana maana ana wa alert hata wanategemea bidhaa zake kwa > 60% basi waanze kujikwamua cos wanatambua ipo siku yatawakuta ya EU
Mzigo maliasili alio nao Mrusi ni mkubwa sana, anaweza kuuza kwa bei ya chini kuwakomoa wengine.

Nani hampendi unafuu hapa duniani!?
 
Kama wewe hapa hujawahi kuandamana kwa uncertainty ya maisha ya kila siku iweje uwasemee wao wenye uhakika na kesho yao kuandamana?
Hivi na wewe vipi!?

Hivi haki ya kuandamana kwa nchi za ulaya ni sawa na huku Afrika kwa akina "jiwe"!?
 
Da! sijui nicoment vip!!! ila wazungu sometimes wana akili ndogo zaidi ya sisi weusi! yaan urusi alivyositisha mashambulizi kyivy ndo wakajua urusi haina nguvu..wakachukulia ndo wakati muafaka wa kujiunga nato..kweli wazungu bila pesa wana low IQ kuliko watu weusi...in short urusi alikuwa anatumia wana mgambo wanaotaka kujitenga wa donbas...... mziki kamili wa urusi haujatia maguu hata kidogo wanasubiria nato waingie ndo waanze kutoa pumzi ya moto.....
Low IQ watu waliokutawala kwa miongo ya miaka!
 
Hivi unadhani Mzungu ana akili sana.
Sema tu walitutangulia kufanya ugunduzi mbalimbali.
Wangekuwa wanaona mbali leo hii Ukraine isingekuwa magofu kwa issue ambayo ingetatuliwa peacefully.
Hawa Wazungu kuna possibility wakatuingiza kwenye WW3 kimasihara.
Wanazo akili sana, hata kutanguliwa katika uugunduzi ni kuzidiwa akili.
 
Back
Top Bottom