Kwani Putin alishawah kutishia kuivamia Finland? Inaelekea ata sababu za kupelema jeshi Ukraine huzujui! Yani ufahamu kabisa kuwa Marekani lengo lake kuu ni kuitumia Nato ili aisogelee Russia? Hujui kama kuna washauri walishauli huko nyuma kuwa mpango wa NATO kujitanua kuelekea mashariki eneo la mashariki mwa ulaya patakuja kuwaka moto?
Hujui kuwa kuna watu walishaiambia US kuwa ukitaka kumminya Urusi basi hakikisha unaifuata wewe kule iliko atakama kwa kuwanunua viongozi waliopo nchi jiran na Russia wanunue ila ukiruhusu Russia ikufate kama ilivyokafika Ujeruman Mashariki hutoiweza?
Hujui kuwa miaka ya 60 Marekan akitaka kuishambulia CUBA sababu tu Russia alikuwa anaweka makombora yake ya Nuclear na Marekan akaona kabisa kuwa Russia ataitumia Cuba kumchapia siku moja?
Unafikiri Marekan kufika mpk Taiwan ni kwa bahati mbaya? Marekan anachotaka yeye ni kuwafikia maadui zake kupitia mataif mengine akawachunguze na ata siku mkikorofishana anapigane vita kutumia mataifa yenu si faifa lake.
Sent using
Jamii Forums mobile app