Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Hata hawakumbuki tena,siku zote huwa wanarukia ajenda inayokuwa mbele yaoWalikata gesi kwa Poland na maisha yanaendelea wakumbushe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hawakumbuki tena,siku zote huwa wanarukia ajenda inayokuwa mbele yaoWalikata gesi kwa Poland na maisha yanaendelea wakumbushe.
Kweli kaka, ni nchi ndogo sana Finland yenye strategic plan kubwa na za muda mrefu.Pia moja kati ya Nchi zinangoza kwa kujali raia wake. Kuna kukurupuka kwenye kutoa madaTutafakar upande wa pili, yaani finland. Wao hawakujua kuwa watakatiwa umeme na gas? Ni ushabiki tu usio na maana haya mataifa yanayomzingua russia yanaonekana tayari yalishajiandaa kwa muda mrefu. Kama hiyo gas na umeme ndo vingekuwa ni maisha yao, wala wasingethubutu kupeleka hayo maombi NATO, ila mpaka wanapeleka maana yake kuna namna wamejiandaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ikifika muda mtamkosoa tu Putin , km mzungu alifungua Afrika ili kutimiza mahitaji yao , amin hawawez kukosa solution kwenye hili , solution ikipatikana itakuwa ni mwendo wa kumsusia Urusi , waarabu wakipata akili tu basi Urusi hana chakeSi bora Russia atakukatia umeme na Gas! US ndo analeta jeshi na Muungano wake wa Nato kuja kukung'oa kabisa! Alafu ata ao aliowakatia Gas mwisho wa siku mpango ni uleule unataka nunua kwa Ruble ili thaman ya pesa yao ipande sokon.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan kakuombea na ww ujiunge NATO ?Ana kiherehere sana huyu Finland
kwan USA hajaisogerea URUSI bado ? ( kwa mujibu wa hoja yako ) kuna muda tumieni akili kuliko mahabaKwani Putin alishawah kutishia kuivamia Finland? Inaelekea ata sababu za kupelema jeshi Ukraine huzujui! Yani ufahamu kabisa kuwa Marekani lengo lake kuu ni kuitumia Nato ili aisogelee Russia? Hujui kama kuna washauri walishauli huko nyuma kuwa mpango wa NATO kujitanua kuelekea mashariki eneo la mashariki mwa ulaya patakuja kuwaka moto?
Hujui kuwa kuna watu walishaiambia US kuwa ukitaka kumminya Urusi basi hakikisha unaifuata wewe kule iliko atakama kwa kuwanunua viongozi waliopo nchi jiran na Russia wanunue ila ukiruhusu Russia ikufate kama ilivyokafika Ujeruman Mashariki hutoiweza?
Hujui kuwa miaka ya 60 Marekan akitaka kuishambulia CUBA sababu tu Russia alikuwa anaweka makombora yake ya Nuclear na Marekan akaona kabisa kuwa Russia ataitumia Cuba kumchapia siku moja?
Unafikiri Marekan kufika mpk Taiwan ni kwa bahati mbaya? Marekan anachotaka yeye ni kuwafikia maadui zake kupitia mataif mengine akawachunguze na ata siku mkikorofishana anapigane vita kutumia mataifa yenu si faifa lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokosea ni pale unapohisi West ndo wanaakili ya kuwaza hayo huku ukiwaacha West kuwa hawana uwezo wa kuwaza kesho yao.ikifika muda mtamkosoa tu Putin , km mzungu alifungua Afrika ili kutimiza mahitaji yao , amin hawawez kukosa solution kwenye hili , solution ikipatikana itakuwa ni mwendo wa kumsusia Urusi , waarabu wakipata akili tu basi Urusi hana chake
Jana ilikuwa 52 rubles mkuu kwa mwendo huu itafika 30 kabla ya august.Ruble ni currency ya kawaida kwenye uchumi wa dunia. Level zake haipo hata currencies 10 duniani zinazotumika sana. Switzerland haifiki hata 0.5% ya eneo la Russia ila fedha yake Swiss Franc inaizidi mbali umuhimu hiyo Ruble.
Ruble ikue kwa nafasi yake ila sio tishio wala haina impact sana kwenye dunia. Ingekuwa Japan ndio huwa wanafanya devaluation, China ndio kabisa hiyo ni michezo yake ila Russia hata itoke from 1$ = 62 RUB ipande mpaka 1$ = 30 RUB bado dunia haitofeel sana. Vita wakati inaanza walikuwa wanachezea kwenye 80 sasa hivi wako 60 na kitu
Na ulaya haiwezi kusavaivu bila kununua gesi RUSSIAKila siku mnaleta hizi porojo. Urusi hawezi kusavaivu bila kuuza gesi ulaya.
Kaa kwa kutulia hata hao Zimbabwe walianza hivi hivi kwa kutunisha misuli kwl hadi Mgabe akamuita Obama shoga.Na ulaya haiwezi kusavaivu bila kununua gesi RUSSIA
Nandio maana kuthibitisha hilo mpaka sasa toka jamaa aamze kutoa kichapo mshakaa vikao vingapi EU ila vyooote mmeshindwa kufikia muafaka wakuachana na GAS ya RUSSIA?!?
Nanikwambie muafaka unashindwa kufikiwa sio kwabahatj mbaya nikwamakusudi sababu wanajua bila ya RUSSIA kuwapa GAS hao EU hawatoboi hata weeek
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi MKUU kama watu wanavyopambana dhidi ya dolaanachofanya Urusi ni mistake kubwa sana maana ana wa alert hata wanategemea bidhaa zake kwa > 60% basi waanze kujikwamua cos wanatambua ipo siku yatawakuta ya EU
Aaah kumbe unajua kuwa Shobo za Marekani kutaka kuwaumiza wenzake ndiyo itakuwa chanzo cha vita hapa Duniani? Basi vyema umeelewa uache kumshutumu Putin.kwan USA hajaisogerea URUSI bado ? ( kwa mujibu wa hoja yako ) kuna muda tumieni akili kuliko mahaba
Unasemaaa???? Mziki kamili wa Russia haujaingia Ukraine? Acha utani basi.Da! sijui nicoment vip!!! ila wazungu sometimes wana akili ndogo zaidi ya sisi weusi! yaan urusi alivyositisha mashambulizi kyivy ndo wakajua urusi haina nguvu..wakachukulia ndo wakati muafaka wa kujiunga nato..kweli wazungu bila pesa wana low IQ kuliko watu weusi...in short urusi alikuwa anatumia wana mgambo wanaotaka kujitenga wa donbas...... mziki kamili wa urusi haujatia maguu hata kidogo wanasubiria nato waingie ndo waanze kutoa pumzi ya moto.....
Ujue katundikwaWanavyocoment kishabiki hapa unabaki kushangaa,wanaowaona hao Finland na Sweden ni wajinga sana kwamba hawajui kuwa Putin amekuwa akitumia hicho kigezo siku zote kuwatisha na walikuwa wanatishika.Iweje leo wameamua liwalo na liwe pamoja na kukata hiyo gesi na umeme,nina uhakika hawatokosa hizo huduma maana walishajua mapema na mchakato wa kujiunga NATO utaendelea kama kawaida.Ukiona Kobe yuko juu ya mti.........[emoji846]
Sasa kama bei inapanda mnasemaje walijipanga!!?wanaingia kwenye situation mpy lazima bei zichange kwa muda mpk wakiwa stable hapo ndipo Urusi itakuja kumlaumu Putin kwa maamuzi ya ss hv
Hili mbona lipo waziiii, wanabisha basi tu.Kila siku mnaleta hizi porojo. Urusi hawezi kusavaivu bila kuuza gesi ulaya.
Mchokolo, swali ni kina nani unaowafahamu wanaweza replace soko la gesi la ulaya? Mbona ni swali jepesi sana?Aliki yako inakuambia only Europe ndio watumiaji wa oil na gasi?? Umeona vikwazo tu kidogo dunia ilivyotingishika na hapo bado anauza
Wanafikiri finlanda ina vilaza kama hapa kwetu, nchi ina pesa ile. Kwa namna fulani ameshajiandaa.Wewe unafikiri Finland itakufa njaa? Mnafurahia ufara wa fara fulani ambaye ameamua kuvamia nchi huru kibabe tu. Halafu nchi hiyo inapojitetea mnaumia. Misimamo mingine ni ya kishetani kabisa. Kama Idd Amin alivyovamia Kagera 1978, ulitaka Nyerere afanyeje kama siyo kutetea ardhi ya Tanzania?
Kukatiwa umeme hakuna uhusiano nakuharibiwa mijihv kukatiwa umeme & gesi na kuharibika miji , kipi kigumu ku recover ?
Hata mafuta na GAS alisema atagharamia kwakutoa mapipa 1M per dayMarekani atagharimia hayo mahitaji ya Finland. Lengo ni kumkomoa tu Urusi. Hawajaomba kujiunga Nato kwa bahati mbaya, ni mpango madhubuti wa Marekani.