Pamoja na kumtusi jamaa ila wewe ndio mtupu kabisa. Unadhani Russia ni mwendawazimu kivamia Ukraine bila sababu? Hivyo ni vita. Na vita vinagharama ikiwemo kupoteza wanajeshi wako na vifaa. Mrusi sio mjinga kama unavyotaka tuamini.
Upande mwingine ungejiuliza kwanini nchi za NATO wanayataka sana hayo mataifa hata kwa damu na kuangamizwa kwa miji yao!?
Ukiyatafakari hayo,kuwaunga mkono hayo mataifa na kumpinga Russia, inaonesha hata zakuvukia barabara hazijabaki
Sent from my SM-G5500 using
JamiiForums mobile app