Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

Hiyo Ulaya ni pamoja na Poland, Bulgaria na UK na Ufaransa ?

Kabla ya gesi ya Russia kuanza kuchimbwa na kuuzwa Ulaya haikuwa inasavaivu ??
 
Hiyo mizungu isiyo na akili ndio viongozi wako wanashinda huko tangu nchi zenu zipate uhuru kwao hao hao wakiomba misaada na mikopo.
 
Wewe Mrusi wa buza unayeshindia kula miguu na utumbo wa kuku huwezi kuzielewa vizuri nchi za ulimwengu wa kwanza kama Finland na Sweden zinazokupa misaada kuliko raia wake na viongozi wake.
 
Kama sio uongo unalazimisha weka kiasi au thamani ya mafuta US waliyonunua toka Urusi mwaka huu na kampuni hata moja la Marekani lililonunua hayo mafuta.
 
Finland walishasema week iliyopita kwamba Russia wakate gesi na mafuta maana wanajitosheleza,gesi na mafuta wanayochukua toka Russia ni 10% tu

Huko watapokwenda kuchukua safar hii lazima itakua juu,Russia inawauzia kwa bei ya chini zaidi!
 
Finland inajiunga na NATO,
Nayo ataivamia?
 
Wameanzia 132 mzee now wako half way around 58 against usd
Ruble huchezea kwenye 80 mara zote, hapo ndio peg yake ilipo. Ilifika 132 kama response ya sanctions ambapo speculators waliona athari za sanctions zitayumbisha uchumi.
Hata hapo ilipo kwenye 50 na kitu bado sio nafasi yake ya kudumu, fluctuations zitaihamisha. Stable currency haiwezi panda au kushuka ghafla
 
Kwa hiyo Putin ataivamia na Finland ?
Finland kwasass ni kipolo cha pilau. Ngoja tumalize mazoezi tunayofanya Ukraine. Finland imeingizwa chaka na USA kama ilivyoingizwa Ukraine
 
Kwa hiyo Putin ataivamia na Finland ?
Finland kwasass ni kipolo cha pilau. Ngoja tumalize mazoezi tunayofanya Ukraine. Finland imeingizwa chaka na USA kama ilivyoingizwa Ukraine
 
Akili yako haina akili. Anayetetea territorial integrity ni aliyevamiwa katika mipaka yake. Ukraine ndiye kavamiwa. Sehemu ya nchi yake imekaliwa na Russia. Simple. Tuache ushabiki wa kimpira. Watu wnakufa. Fikiria ungekuwa wewe, mama yako ama baba yao.
 
Ushamba tu unakusumbua. 2003 wakati Iraq inavamiwa na US, ulikuwa haujazaliwa. Sasa unaongelea uzi gani. Kushabikia mauaji ya watu wasiokuwa na hatia ni ushetani wa hali ya juu sana.
Ningekuelewa kipindi kile Iraq, Syria, Libya n.k. zinavamiwa ungeanzisha uzi wa kupinga. Lkn sasa acha nao wenye kupiga wengine na kufanya organs Smuggling waonje tamu ya jiwe.
 
Sawa wacha tuone mkuu maana katika hii dunia ni Dhahabu, Mafuta na Gas ndio yana determine uchumi utasimama vipi!

Ila nikukumbushe tu kuwa Russia sio mjinga akae akisubiria Ulaya wa withdraw kwenye uteja wa mafuta kwake. Soon anahamishia bomba china na India from there on wengine watajitokeza tu.
 
Watu wote tumeganyika - ama tuko upande wa Shetani ama wa Mungu. Hakuna neutral. Unajua upande uliopo kwa akili yako hiyo.

Shida yenu ni moja, hamtaki kukubali ukweli wa kwamba shetani kuu la ulimwengu huu ni marekani. Hilo jini kuu, limenyonya damu ya watu wengi wasio na hatia, kutia ndani Patrick Lumumba, katibu mkuu wa UN aliyefia Zambia; orodha ni ndefu. Sasa zamu yao imeanza kuwadia, ushauri ni kuwa, mtulie tu sindano iwaingie.
 
Kwa hiyo wewe ndo mwenye hakimiliki ya kulaani siyo?

Vita vya Ukraine vimechochewa na hao unaowaabudu na kuwafanyia uchawa kenge uliyekosa manyoya[emoji35][emoji35]
 
Wew kemea hiyo nchi iliyozivamia hizo nchi ulizotaja na sio uhalalishe uvamizi wa Russia huko Ukraine kwa makosa ya wengine. Eti " kwa nini umemuuwa huyu kijana"? Unajibu "nimemuuwa sababu amemgonga mwanangu na pkpk akamuuwa" UTAFUNGWA MKUU
Low thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…