Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

πŸ™ŒπŸ™Œ
Kwa hiyo wewe ndo mwenye hakimiliki ya kulaani siyo?

Vita vya Ukraine vimechochewa na hao unaowaabudu na kuwafanyia uchawa kenge uliyekosa manyoya[emoji35][emoji35]

πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hivi ni kwanini nchi tajiri kama hizo wanashindwa kujitengenezea vyanzo vya umeme wao hadi wategemee umeme wa nchi nyingine?
 
Wew kemea hiyo nchi iliyozivamia hizo nchi ulizotaja na sio uhalalishe uvamizi wa Russia huko Ukraine kwa makosa ya wengine. Eti " kwa nini umemuuwa huyu kijana"? Unajibu "nimemuuwa sababu amemgonga mwanangu na pkpk akamuuwa" UTAFUNGWA MKUU
Huna hata point
 
Uongo mtupu,haya ni mawazo Yako lkn sio uhalisia.
Usifikiri hatujui sababu za kuvunjika USSR .tuanajua sana.
 
Wangejiandaa wangekuwa wananunua gasi kwa fedha ya russia hivi unajua maana halisi ya matumizi ya gesi ulaya?...
 
Kwa kitendo Chao cha kupeleka maombi kutaka kujiunga na nato ,mzee Putin amefunga koki za kupeleka gesi na tayari amewakatia umeme Sasa ngoma inogire raia wa finland
Kwanini nako hajavamia kijeshi kama alivyovamia Ukraine ?
 
Ukweli kulingana na nani au kwa vigezo vipi?
 
anachofanya Urusi ni mistake kubwa sana maana ana wa alert hata wanategemea bidhaa zake kwa > 60% basi waanze kujikwamua cos wanatambua ipo siku yatawakuta ya EU
Mzigo maliasili alio nao Mrusi ni mkubwa sana, anaweza kuuza kwa bei ya chini kuwakomoa wengine.

Nani hampendi unafuu hapa duniani!?
 
Kama wewe hapa hujawahi kuandamana kwa uncertainty ya maisha ya kila siku iweje uwasemee wao wenye uhakika na kesho yao kuandamana?
Hivi na wewe vipi!?

Hivi haki ya kuandamana kwa nchi za ulaya ni sawa na huku Afrika kwa akina "jiwe"!?
 
Low IQ watu waliokutawala kwa miongo ya miaka!
 
Wanazo akili sana, hata kutanguliwa katika uugunduzi ni kuzidiwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…