Firauni wa Misri alidakwa muda kama huu alipotamka yale anayotamka na kutenda Netanyahu wa Israel

May Allah(the almighty) rise the darja of all our oppressed brothers and sisters worldwide, his words are unfold and became clear day by day subhanallah.
 

Attachments

  • RDT_20240930_125034176836857037892309.png
    850.3 KB · Views: 3
Yahudi kufanya kibri na ufisadi juu ya ardhi ni kawaida yake na dawa yake ni waislam muda ukifika ataadabishwa inavyostahili na wanajua hilo.

Nyie baadhi ya wakristo msiojielewa (wale wasiojua utofauti ya ukristo na uyahudi) tafuteni maarifa sio kubwabwaja humu mkiongozwa na mihemko pamoja na chuki dhidi ya uislam
Nyie mnatumika tu na yahudi na yahudi anawadharau kupita maelezo.
 
Mbona ulichokiandika hakieleweki? Kinachokuuma ni watu kuuawa mbona libya na somalia mnauana wenyewe kwa wenyewe? Vipi mbona shia na sunni hamuelewani mpaka mnabaguana nalo likoje? Kutwa humu munadai kuwa Israel kuna waislamu wengi vipi mbona hawauawi ? Hivi hao unaowaita viongozi wa kiislamu hauoni wanauawa kwenye uwanja wa vita mpumbavu wewe
 
Wewe ni muongo mkubwa sana
 
Yaani unategemea wewe uwaue tu wenyewe wakuangalie na wakati unajua kabisa kutoka mpaka kwenye iko kitabu chako cha Allah kwamba jamaa ni eneo lao la urithi toka dunia imeumbwa .........sasa wewe kwa ngebe na upopoma wako unakuja kuona wanaonewa kweli?? Wale watanzania waliokufa walikuwa na kosa gani kwa waarabu maana kwanza ni weusi sana na wala hawafanani na wale wayahudi tena wamewakuta na baiskeli na jamaa kavaa ndala hata jiwe hakuokota kuwarushia lakini walimrudi vibaya na visu wakamchoma bila hatia ........... halikuwa hana kosa maana hata ugomvi wao haujui kabisa...........kwa hili wacha wafe tu hakuna dini hapo ........maana hata dini zote zimekataza kuua bila hatia ..........tena Netanyahu maliza mpaka mazazi yao ...........wapigwe tu yaani wauliwe mpaka watulie maana hiyo Lebanon ni taifa la wakristo sasa nyie kujipereka kwa kisa udini wacha mfe tu............harafu Lebanon ni wakristo wengi sana sasa nyie dini nyingine mnapata wapi kimuhe muhe cha kusikia uchungu kama kabakwa mama au dada yako????
 
Wewe ni muongo mkubwa sana
Mkuu fanya utafiti usipelekwe pelekwe na kukaririshwa vitu kama kasuku.

Be open minded

Masuala ya sheria za wayahudi na waislam kuendana na kua mbali kabisa na ukristo ni suala rahisi na linajulikana ni suala geni kwa mbumbumbu kama wewe.
 
Mkuu; angalia au soma na hii:
1. Ukristo umetokea Middle East
2. Uislam umetokea Middle East
3. Ukristo na Uislam chimbuko ni Imani ya Ibrahim/Abraham.
Ibrahim/Abraham ametjwa katika Biblia takatifu na Qur'an tukufu.
4. Ibrahim/Abraham alikuwa na wake wawili: Mke wa kwanza (mke mkubwa) na ndiye mke wa ndoa aliitwa Sarah na Mke wa pili (mke mdogo) ambaye hakuwa mke wa ndoa aliitwa Hajiri/Hagari. Huyu Hagari alikuwa ni Binti wa kazi za nyumbani i.e. mtumishi wa Sarah. Note: Ibrahim/Abrahamu alishawishiwa na kupewa kibali na Sarah ili amtwae Hagari i.e. amgeuze Hagari binti wa kazi nyumbani kuwa mchepuko wake ili azae naye. Lengo lilikuwa ni ili Ibrahimu apate mtoto kwani Sarah ilionekana hana uzao (alikuwa mgumba/tasa).
5. Hajir/Hagari mchepuko wa Ibrahim, alipata mimba na Alimzaa Ishamael. Kwa hiyo Ishamaeli ni mtoto wa kwanza wa kiume wa Ibrahimu.
6. Baada ya muda mrefu kupita .. Sarah nay alifanikiwa na alimzaa Isack/Isaka.
7. Ishamel na Isack ni Mtu na ndugu yake -Baba mmoja.- mama mbalimbali. Ishamaeli ni kaka wa Isack na waliishi pamoja na kucheza pamoja kama ilivyo ndugu katika Familia moja. Bifu lingine lilianzishwa tena na Sara mke wa ndoa wa Ibrahimu kwa kumshinikiza sana mzee Ibrahimu amfukukuze Ishmael kwani alihofia kwa Upendo wa Ibrahim kwa wanawe; huenda Ishmaeli naye atapewa urithi kwa mujibu wa desturi za kiyahudi wakati huo. Sara alikuwa na WIVU mkubwa sana.
8. Ishmaeli alifukuzwa (huyu ndiye chimbuko la Waislam); Isack aliendelea kubaki nyumbani (huyu ndiye chimbuko la Wakristo).
HITIMISHO: Waislam na Wakristo ni NDUGU tena ni NDUGU wa DAMU . Wote ni watoto halali wa mzee Ibrahimu (Almaarufu kama baba wa Imani). Ni ujinga(Kutokujua kwa kiwango cha juu) sana kwa Wakristo kugombana na Waislam kwa visa eti vya Udini.
Ndo mana wanaolijua hili huwa wanajisemea: "Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime; wakipatana chukua kapu ukavune". e.g. Ifuatilie Saudia na mataifa mengine, hayajiingizi katika mgogora wa Israeli na vile vikundi vinavyodaiwa ni vya kugaidi.
NB: HAKUNA mahali POPOTE kwenye Biblia Takatifu (cjui labda kwenye Qur'ani tukufu) panapozungumzia au walau hata kutaja tuu au kudokeza kama kuliwahi kuwa na ugomvi baina ya Ishmaeli na Isack/Isaka, bali biblia inadokeza walikuwa wanacheza pamoja They were Brothers, they loved each other more than just being friends.
 
Historia ya kwenye kitabu chenu
 
Hajr hakuwa mchepuko wa Ibrahim

Kuliko baki umezungumza vizuri kiasi ila
Hata wewe huwa unashuhudia kwamba nyie wakristo hapa jukwaani mmezidisha chuki dhidi ya uislam na waislam hamna hoja nyie ni matusi na kebehi tu
Ujumbe mzuri umetoa ila umeuelekeza mahala si sahihi mkuu
 
Nanukuu:
"Nyie baadhi ya wakristo........wale wasiojua utofauti ya ukristo na uyahudi,
tafuteni maarifa sio kubwabwaja humu mkiongozwa na mihemko pamoja na chuki dhidi ya uislam
Nyie mnatumika tu na yahudi na yahudi anawadharau kupita maelezo".

Mkuu; hii habari ya Wakristo kuwa na chuki dhidi ya Uislam inapatikana maelezo yake wapi au ni maoni yako binafsi? Kama ni maoni /mtizamo wako binafsi basi hilo ndo mhemko wenyewe.
Siye Wakristo na Waislam huku tunapendana na hadi tunaoana,tunazikana na tunasherehekea kwa pamoja sikukuu za Waislamu na za Wakristo. Tena cku hizi hata zile za kijadi tunashirikiana.
Hizo tafauti kati ya Ukristo na Uyahudi tutaziangalia baadaye.
 
OK; Hao watoao matusi wanapatikan pande zote Wakristo na Waislam.
Cha msingi ni kukubaliana na matokeo tu kwamba kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
Unachambua humo yale yenye mantiki na kudiscard yale matakataka mengine.
Pole sana.
 
Yaani niache kusoma Biblia ambayo imeielezea kiundani kuhusu farao halafu nije nisome kitabu kingine kilichokuja zaidi ya miaka 1000 baadae nitakuwa sipo sawa kiakili kwa kweli

Maana ni copy and paste na kuongezea chumvi nyingi juu
 
Kwahiyo saiz baada ya kuzidiwa upande wa makombora na mizinga na akili mumehamia kwa miungu

Na huko mtapigwa tu tena maana huku kuna JEHOVAH SHALOM kwenu kuna Allah ngoja tuone lakin mimi naamin Ebenezer hajawah shindwa vitan

God bless Israel. Amen
 
Mkuu fanya utafiti usipelekwe pelekwe na kukaririshwa vitu kama kasuku.

Be open minded

Masuala ya sheria za wayahudi na waislam kuendana na kua mbali kabisa na ukristo ni suala rahisi na linajulikana ni suala geni kwa mbumbumbu kama wewe.
Sheria kama zipi zinaendana? Usipende kutukana watu usiowajua usikute mama yako mzazi nishamla
 
Safi sana gombaneni ,tukaneni toleaneni kashfa uzi mwingine mje mthibitibishe uwepo wa huyo Mungu wenu mkishapatana .
 
Yaaani Alidakwa dakwaje..
 
Kabla ya kipigo Wapalestina wote na Mashabiki zao huwa ni Mashujaa kweli kweli na Wana uwezo wa kuifuta Israel kutoka kwenye uso wa Dunia kwa dakika chache sana. 😆🤣
 
Allah sio Mungu ila mkuu wa majini mkuu.
Kwa kweli hata Mimi nina mashaka sana na allah anayetaka watu wapigane, wauwane, wanaokufa walipwe mabikira 72 kila mwanaume, sasa huko kwa allah kazi ni moja tu ya ngono? Mbona Mungu wa kwenye Bible amesema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.

Yupi Mungu wa kweli, kati ya anayesema wanaume watapewa na Allah 72 wanawake na pombe, au huyu anayesema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.

Mungu wa waisraeli anajaribu Ibrahim kwamba amchukue mwanae pekee Isaack akamtoe sadaka ktk mlima.

Ilhali ktk kitabu cha allah, story hiyo inasema allah akamjaribu Ibrahim kwamba amchukue mwanae Ismaily na akamtoe sadaka. Tafakari na uchukue hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…