First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

FB_IMG_16619809746310335.jpg
 
Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite.

Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua chache na tulipo, jicho likanitoka rafiki yangu akacheka na kunionyesha ishara kwa mikono "Cool down" 😂

Utulivu utoke wapi wakati nna moyo? Nikamuuliza jamaa...
"Unamfaham?"

Jamaa akaniambia sio mara ya kwanza kumuona hapa na yeye alishawahi kuuliza akaambiwa huyu dem anaishi jirani na hapo, marachache akitoka kazini huwa anakuja kupiga wine na kuondoka zake na hupenda kukaa pekeake au na dada mmiliki wa grocery.

Mate yakanitoka kwa tamaa nikabaki nimeduwaa nisijue la kufanya kwa wakati huo. Nlitaka nimuite akae na sisi roho ikasita.

Baada ya muda Dem akatoka akipita pale tulipo, nikamsemesha...
"Mbona mapema dada?... karibu basi ujumuike nasi japo tutambuane"

Dada akageuka huku akitabasam akanijibi. "Asante kaka, nawahi nyumbani kumalizia majukumu"
Alijibu huku akipiga hatua akiondoka. Nilisita kunyanyuka kumfata nikabaki nimekaa nikimuangalia akiyoyoma.

Tangu siku hiyo nikajifanya simba mwenda pole, kila siku jioni nikapita kwenye ile grocery na kuagiza kinywaji lengo likiwa ni kuwa karibu na yule mrembo.

Siku moja nimekaa pale nikipata soda mara yule dem akaja, akanisalimia na kupitiliza counter. Muda mchache akarudi na chupa ya maji madogo na kukaa kwenye meza yangu. Moyo ukapiga paah! Niwaambie tu ukweli wakuu, tangu nimeacha pombe ujasiri wa kutongoza umepungua sana hasa kwa wanawake wazuri maana wale wa kawaida wanaume huwa tunajiamini sana tukijua sio rahisi kutoswa 🤣

Dem akakaa bwana, baada ya salam fasta nikamwita muhudum nikamwambia "msikilize huyu"
Ohoooo..... Dem akatosa! Akasema leo hajisikii kunywa chochote zaidi ya maji. nikajifaragua na kumbembeleza anywe hata moja akakataa.

Baada ya muhudum kuondoka dakika chache kimya kikatawala, fasta nikajitutumua nikaanza maongezi nae. Nikamuuliza jina lake nami nikamwambia la kwangu.

Dem alikuwa anajibu kwa ufupi sana ilitakiwa juhudi ya ziada kufanya maongezi endelevu.

Nikajikoholesha kusafisha koo ili niendelee kutega chambo, mara anaingia Dulla jamaa yangu wa kitaa mtoto wa Kiswahili maneno mengi sana.

“We jamaa na huku umefata nini wakati dagi ushaacha?!”

Dulla aliniuliza huku akicheka tukasalimiana kwa kugonga tano, jamaa akavuta kiti na kukaa. Siku hii habari iliishia hapa, Dulla alikuwa anaongea sana na alikuwa anafahamiana na huyu dada sababu wanakaa mtaa mmoja basi ilikuwa shida, hata haikuchukua muda dem akachora kwenda kwake.

Siku nyingine Simba mawindoni, siku hii nilikuta wadau kibao Dulla akiwemo, kijiwe kilikuwa kimenoga na mashangazi ya mtaa yalikuwa ya kutosha.

Haikuchukua muda mrefu Dem huyo akapita akitusalimia na kwenda counter, nikasema leo liwalo na liwe.

Nikamwita muhudum nikamwambia akaniitie. Dem hakukataa akaja kukaa lakini alikaa mbali kidogo na mimi tulikuwa meza ya duara na kina Dulla na mashangazi ya kitaa. Sikukata tamaa nikamwangalia na kujitutumua nikamwambia “mbona umekaa mbali?”

Akanyanyuka na kuja kukaa pembeni yangu, nikamsogelea sikioni nikamnong’oneza “Leo naomba nikununulie kinywaji, please don’t reject my offer!”

Akatabasamu na kusema kwa upole “Sawa!”…. 🤩

Fasta nikaita “Muhudumu!...” akaja mdada kumsikiliza dem akaagiza mataputapu (bia za buju jero 🤣) nikamzuwia muhudum na kumwambia dem “We si unakunywaga wine? Hebu mletee Saint Anna tafadhali”

…..Mzigo mezani tiii na glass mi nikipiga Pepsi baridi. Glass ya kwanza…. Ya pili… ya tatu….. dem ananiambia “tuhamie pale” akinielekeza meza iliyojitenga pembeni kabisa. Tukahama huku Dulla akinipiga maneno ya Kiswahili kwa utani 🤣

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣🤣🤣

DONE! 🤩
***Sehemu ya pili kesho
View attachment 2342455
Upuuzi
 
Sehemu ya pili….

Tulipoishia:

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake
🍆🤣🤣🤣

Tuendelee…

Hivi ni kweli lisemwalo kuhusu hizi pombe; Savana, Amarula, Saint Anna, Reds na zinazofanana na hizo kwamba hushuka chini fasta kwa wanawake? 🤣

Kuna kitu kilinishangaza kwa huyu dem kabla sijatia neno lolote kama “nakupenda” yeye alikuwa tayari kesha fall in ❤️.

Kama nilivyosema first approach is hard lakini tukirahisishiwa huwa ni kamserereko 🤣🤣… Nilianza kuipapasa miguu yake mizuri mzee wa kazi🍆 naye akifikisha ujumbe kwa upande wake 💪, dem akaniangalia tena usoni baada ya kupiga funda la wine, nikamuangalia pia nikiuliza kwa ishara (face expression na mikono) “what!”

Akaitikia kwa kukataa huku akitingisha kichwa na kusema “Mm…!” kisha akatabasamu huku akijizuia kwa mkono wake mdomoni, akameza lile funda la wine then akacheka kwa sauti…. 🤣🤣🤣. Basi mimi hoi then a peace of mind came to me, the heart became as if it had been sprinkled with cold water baada ya joto kali sana la jangwani. Nikajisemea moyoni

“Ewaaa… that’s what we call KUMWAGILIA MOYO” 😍

Muda nao huwa una kiherehere sana hasa nyakati tamu kama hizi, hapa grocery wako strictly muda wa kufunga unapofika. Wote tulilijua hili, demu alijiweka sawa akachukua simu yake (can you imagine? Muda wote huu tulioka hapa hakuna ambaye alikuwa busy na simu maana maongezi yalikuwa matamu haswa) akacheki muda akaonyesha kama kushangaa akasema:

“Kumbe muda umeenda hivi?!”

“Tuondoke mpenzi” nikajisemesha huku nikimuangalia usoni. Actual sikupenda tuondoke

“Tunaenda wapi?…” Dem akaniuliza akiniangalia usoni pia. Hapa niliachiwa mimi niwe muamuzi kwa siku ya leo, nikamjibu;

“Nakusindikiza kwako then nami naenda home”

“Ok poa!” Dem akaitikia huku akijikusanya kujiandaa kuondoka, wakati huo akanipa simu yake niandike namba zangu nikajiflash na kujisemea moyoni.

“Keshaliwa huyu!”

Siku ya leo ingewezekana kabisa kula mzigo lakini sikutaka iwe hivi, sikutaka kumshusha huyu mtoto wa kike kuwa “one shoot on target, one goal”. Kuna wanawake sababu ya muonekano wao na jinsi wanavyojiweka huwa hatupendi kuonyesha tamaa zetu mapema, maana wanawake hawa hata kukaa nae tu ni burudani achilia mbali kula tunda. Lakini sio kwamba ukiombwa mzigo siku ya kwanza umedharauliwa, hapana bali ujue mwanaume kuzuwia hamu zake zinapochokozwa sio kazi ndogo pia.

Dem alikuwa anaishi mtaa wa pili tu nikamsindikiza hadi getini, akafungua geti kwa funguo yake kabla ya kuingia akarudi nje akaniangalia, akanisogelea zaidi akanikumbatia kwa nguvu kama akilitafuta joto langu kisha akanyanyua uso wake juu maana nilikuwa mrefu zaidi yake. Akaniangalia akirembua kilevi hakufanya kitu akaishia kusema...

“You made my day!” Kisha akaniaga na kuingia ndani. Mi huyo nikajirudisha nyumbani.

Siku yenyewe; nilikuwa nachat na mtoto, akaniomba nimtoe out mapema sana nikamkubalia. Mida ya saa1 jioni nikampitia kwake, tukaenda kiwanja tulivu cha kistaarabu maeneo ya town. Yeye akigonga wine yake mi nikapiga vilaini tu na maji, tukapiga msosi wetu pale huku tukibadilishana mawazao.

Mida ya saa5 usiku dem akaniambia amechoka tuondoke nikamwambia hakuna shida.

“Tunaenda kulala wapi beib?” akaniuliza kwa kumaanisha, nikamjibu…

“Twende JB hotel, ni patulivu sana”

“Sawa!” dem akajibu na baada ya kulipia tukaondoka zetu

That’s it… Dem akaliwa kilaini kabisa, nilimuogopa sana kwa muonekano wake na jinsi alivyojiweka lakini pamoja na hayo sijamchukulia poa naamini alinipa pendo lake kirahisi sababu alinielewa and I deserve it.

Alichonifurahisha zaidi ni hiki; baada ya game la maana wote tulikuwa tumechoka, tukiwa bado tumelala kitandani akajigeuza kuniangalia akasogeza mkono wake na kuanza kuchezea lips zangu, akashusha pumzi na kutababsamu kisha akasema;

“Mimi na wewe!!” akionyesha pia kwa ishara kwa kidole (kujipoint yeye kisha mimi) akasita kidogo, sikumuelewa nikatoa jicho la kuuliza. Akatabasamu kisha akaendelea…

“Hata siamini! Yani mimi na wewe ni wapenzi sasa!” Nikashtuka na kutafakari anamaanisha nini, kabla sijatia neno akafunguka...

“Nilikuwa nakuogopa sana, maana wewe ni mkimya sana siamini kama leo tuko wote hapa. NAKUPENDA SANA NAOMBA USINIACHE”

What th****!! Inamaana huyu dem alikuwa ananipenda pia!! 😍😍😍

Tuishie hapa wakuu, penzi ndo kwanza limeanza nikisema niendelee kuandika itakuwa Isidingo 😀

End

black-couple-in-bed.jpg
 
Me binaf sijui kutongoz ni ktk ya wale watu wakmya sana ila nikifanikiwa kuanzisha urafik na watot wa kike mara nying huwa hwachomoi kwangu 😂😂 yaan unaona kbs dem anajitongozesha badala ya me kumtongoza 😂 na nikishafanikisha kuwala utaskia kumbe wewe ni muongeaji ivi me nilizan ww ni jeuri na unaringa san.

kwa jins nilivyokua mkimya 😂😂😂
 
Tunaoteseka ni sisi wasomaji 😂😂😂,,,, anyways kwa uzoefu wangu tu wanawake warembo sana wa asili huwa wepesi sana kuwakamata maana wanaume wengi huwaogopa!

Ukiweza kujiamini tu na kumfuata ukajenga rapport akakuelewa sana na akainjoy swaga zako ni raisi kumteka.
 
Story nzur ila huyu mjinga kanikera hapa tu "mataputapu (bia za buju jero 🤣)

Atanifanya niache kuzinywa
Samahani mkuu, mi mwenyewe nimezinywa sana hizo sema huwa tunaziita hivyo kwasababu moja ukipigwa zilizo expire au ambazo hazijaiva vizuri lazima asubuhi uendeshe 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom