Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Future wife ni yule anayekuelewa na papara zako.Hata kama ni chai. Ukweli ndio huu, Papala zetu uwakinbiza wanawake/future wife...
Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣
Watu wakimya ndio walivyo, unaweza hisi hana hisia na mademu ila usiombe ajenge urafiki na msichana yyte hata mtu mzima basi uwezekano wa kumtafuna ni 99%,Me binaf sijui kutongoz ni ktk ya wale watu wakmya sana ila nikifanikiwa kuanzisha urafik na watot wa kike mara nying huwa hwachomoi kwangu [emoji23][emoji23] yaan unaona kbs dem anajitongozesha badala ya me kumtongoza [emoji23] na nikishafanikisha kuwala utaskia kumbe wewe ni muongeaji ivi me nilizan ww ni jeuri na unaringa san.
kwa jins nilivyokua mkimya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Bandle zipande tu
TayariIwe mapema
Afu juzi tu nilikuwa bar jamaa mmoja akawa anazichambua bia namna zinavyotengenezwa,hili la kutoiva vizuri alilisema ila sikuwa naamini,ila niliwah kuendesha mara nying tu nikajua labda ni tumbo langu tuSamahani mkuu, mi mwenyewe nimezinywa sana hizo sema huwa tunaziita hivyo kwasababu moja ukipigwa zilizo expire au ambazo hazijaiva vizuri lazima asubuhi uendeshe 🤣🤣🤣
Ulivyomchukua bar mpaka na wewe ushamlala, jiulize ni wangapi wamefanya kama wewe?Sehemu ya pili….
Tulipoishia:
Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.
Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣🤣🤣
Tuendelee…
Hivi ni kweli lisemwalo kuhusu hizi pombe; Savana, Amarula, Saint Anna, Reds na zinazofanana na hizo kwamba hushuka chini fasta kwa wanawake? 🤣
Kuna kitu kilinishangaza kwa huyu dem kabla sijatia neno lolote kama “nakupenda” yeye alikuwa tayari kesha fall in ❤️.
Kama nilivyosema first approach is hard lakini tukirahisishiwa huwa ni kamserereko 🤣🤣… Nilianza kuipapasa miguu yake mizuri mzee wa kazi🍆 naye akifikisha ujumbe kwa upande wake 💪, dem akaniangalia tena usoni baada ya kupiga funda la wine, nikamuangalia pia nikiuliza kwa ishara (face expression na mikono) “what!”
Akaitikia kwa kukataa huku akitingisha kichwa na kusema “Mm…!” kisha akatabasamu huku akijizuia kwa mkono wake mdomoni, akameza lile funda la wine then akacheka kwa sauti…. 🤣🤣🤣. Basi mimi hoi then a peace of mind came to me, the heart became as if it had been sprinkled with cold water baada ya joto kali sana la jangwani. Nikajisemea moyoni
“Ewaaa… that’s what we call KUMWAGILIA MOYO” 😍
Muda nao huwa una kiherehere sana hasa nyakati tamu kama hizi, hapa grocery wako strictly muda wa kufunga unapofika. Wote tulilijua hili, demu alijiweka sawa akachukua simu yake (can you imagine? Muda wote huu tulioka hapa hakuna ambaye alikuwa busy na simu maana maongezi yalikuwa matamu haswa) akacheki muda akaonyesha kama kushangaa akasema:
“Kumbe muda umeenda hivi?!”
“Tuondoke mpenzi” nikajisemesha huku nikimuangalia usoni. Actual sikupenda tuondoke
“Tunaenda wapi?…” Dem akaniuliza akiniangalia usoni pia. Hapa niliachiwa mimi niwe muamuzi kwa siku ya leo, nikamjibu;
“Nakusindikiza kwako then nami naenda home”
“Ok poa!” Dem akaitikia huku akijikusanya kujiandaa kuondoka, wakati huo akanipa simu yake niandike namba zangu nikajiflash na kujisemea moyoni.
“Keshaliwa huyu!”
Siku ya leo ingewezekana kabisa kula mzigo lakini sikutaka iwe hivi, sikutaka kumshusha huyu mtoto wa kike kuwa “one shoot on target, one goal”. Kuna wanawake sababu ya muonekano wao na jinsi wanavyojiweka huwa hatupendi kuonyesha tamaa zetu mapema, maana wanawake hawa hata kukaa nae tu ni burudani achilia mbali kula tunda. Lakini sio kwamba ukiombwa mzigo siku ya kwanza umedharauliwa, hapana bali ujue mwanaume kuzuwia hamu zake zinapochokozwa sio kazi ndogo pia.
Dem alikuwa anaishi mtaa wa pili tu nikamsindikiza hadi getini, akafungua geti kwa funguo yake kabla ya kuingia akarudi nje akaniangalia, akanisogelea zaidi akanikumbatia kwa nguvu kama akilitafuta joto langu kisha akanyanyua uso wake juu maana nilikuwa mrefu zaidi yake. Akaniangalia akirembua kilevi hakufanya kitu akaishia kusema...
“You made my day!” Kisha akaniaga na kuingia ndani. Mi huyo nikajirudisha nyumbani.
Siku yenyewe; nilikuwa nachat na mtoto, akaniomba nimtoe out mapema sana nikamkubalia. Mida ya saa1 jioni nikampitia kwake, tukaenda kiwanja tulivu cha kistaarabu maeneo ya town. Yeye akigonga wine yake mi nikapiga vilaini tu na maji, tukapiga msosi wetu pale huku tukibadilishana mawazao.
Mida ya saa5 usiku dem akaniambia amechoka tuondoke nikamwambia hakuna shida.
“Tunaenda kulala wapi beib?” akaniuliza kwa kumaanisha, nikamjibu…
“Twende JB hotel, ni patulivu sana”
“Sawa!” dem akajibu na baada ya kulipia tukaondoka zetu
That’s it… Dem akaliwa kilaini kabisa, nilimuogopa sana kwa muonekano wake na jinsi alivyojiweka lakini pamoja na hayo sijamchukulia poa naamini alinipa pendo lake kirahisi sababu alinielewa and I deserve it.
Alichonifurahisha zaidi ni hiki; baada ya game la maana wote tulikuwa tumechoka, tukiwa bado tumelala kitandani akajigeuza kuniangalia akasogeza mkono wake na kuanza kuchezea lips zangu, akashusha pumzi na kutababsamu kisha akasema;
“Mimi na wewe!!” akionyesha pia kwa ishara kwa kidole (kujipoint yeye kisha mimi) akasita kidogo, sikumuelewa nikatoa jicho la kuuliza. Akatabasamu kisha akaendelea…
“Hata siamini! Yani mimi na wewe ni wapenzi sasa!” Nikashtuka na kutafakari anamaanisha nini, kabla sijatia neno akafunguka...
“Nilikuwa nakuogopa sana, maana wewe ni mkimya sana siamini kama leo tuko wote hapa. NAKUPENDA SANA NAOMBA USINIACHE”
What th****!! Inamaana huyu dem alikuwa ananipenda pia!! 😍😍😍
Tuishie hapa wakuu, penzi ndo kwanza limeanza nikisema niendelee kuandika itakuwa Isidingo 😀
End
View attachment 2342979
Kunikubalia mimi haimaanishi kila aliyemtongoza ashamla. Hata mimi si kila mwanamke nnaye mtamanani lazima nimtongoze.... 🤗Ulivyomchukua bar mpaka na wewe ushamlala, jiulize ni wangapi wamefanya kama wewe?
Oh nimekumbuka ndege wafanana?............
Nyote ni cheap ni mwendo wa kuzoana bar.