First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

Upuuzi
 
Sehemu ya pili….

Tulipoishia:

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake
πŸ†πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Tuendelee…

Hivi ni kweli lisemwalo kuhusu hizi pombe; Savana, Amarula, Saint Anna, Reds na zinazofanana na hizo kwamba hushuka chini fasta kwa wanawake? 🀣

Kuna kitu kilinishangaza kwa huyu dem kabla sijatia neno lolote kama β€œnakupenda” yeye alikuwa tayari kesha fall in ❀️.

Kama nilivyosema first approach is hard lakini tukirahisishiwa huwa ni kamserereko πŸ€£πŸ€£β€¦ Nilianza kuipapasa miguu yake mizuri mzee wa kaziπŸ† naye akifikisha ujumbe kwa upande wake πŸ’ͺ, dem akaniangalia tena usoni baada ya kupiga funda la wine, nikamuangalia pia nikiuliza kwa ishara (face expression na mikono) β€œwhat!”

Akaitikia kwa kukataa huku akitingisha kichwa na kusema β€œMm…!” kisha akatabasamu huku akijizuia kwa mkono wake mdomoni, akameza lile funda la wine then akacheka kwa sauti…. 🀣🀣🀣. Basi mimi hoi then a peace of mind came to me, the heart became as if it had been sprinkled with cold water baada ya joto kali sana la jangwani. Nikajisemea moyoni

β€œEwaaa… that’s what we call KUMWAGILIA MOYO” 😍

Muda nao huwa una kiherehere sana hasa nyakati tamu kama hizi, hapa grocery wako strictly muda wa kufunga unapofika. Wote tulilijua hili, demu alijiweka sawa akachukua simu yake (can you imagine? Muda wote huu tulioka hapa hakuna ambaye alikuwa busy na simu maana maongezi yalikuwa matamu haswa) akacheki muda akaonyesha kama kushangaa akasema:

β€œKumbe muda umeenda hivi?!”

β€œTuondoke mpenzi” nikajisemesha huku nikimuangalia usoni. Actual sikupenda tuondoke

β€œTunaenda wapi?…” Dem akaniuliza akiniangalia usoni pia. Hapa niliachiwa mimi niwe muamuzi kwa siku ya leo, nikamjibu;

β€œNakusindikiza kwako then nami naenda home”

β€œOk poa!” Dem akaitikia huku akijikusanya kujiandaa kuondoka, wakati huo akanipa simu yake niandike namba zangu nikajiflash na kujisemea moyoni.

β€œKeshaliwa huyu!”

Siku ya leo ingewezekana kabisa kula mzigo lakini sikutaka iwe hivi, sikutaka kumshusha huyu mtoto wa kike kuwa β€œone shoot on target, one goal”. Kuna wanawake sababu ya muonekano wao na jinsi wanavyojiweka huwa hatupendi kuonyesha tamaa zetu mapema, maana wanawake hawa hata kukaa nae tu ni burudani achilia mbali kula tunda. Lakini sio kwamba ukiombwa mzigo siku ya kwanza umedharauliwa, hapana bali ujue mwanaume kuzuwia hamu zake zinapochokozwa sio kazi ndogo pia.

Dem alikuwa anaishi mtaa wa pili tu nikamsindikiza hadi getini, akafungua geti kwa funguo yake kabla ya kuingia akarudi nje akaniangalia, akanisogelea zaidi akanikumbatia kwa nguvu kama akilitafuta joto langu kisha akanyanyua uso wake juu maana nilikuwa mrefu zaidi yake. Akaniangalia akirembua kilevi hakufanya kitu akaishia kusema...

β€œYou made my day!” Kisha akaniaga na kuingia ndani. Mi huyo nikajirudisha nyumbani.

Siku yenyewe; nilikuwa nachat na mtoto, akaniomba nimtoe out mapema sana nikamkubalia. Mida ya saa1 jioni nikampitia kwake, tukaenda kiwanja tulivu cha kistaarabu maeneo ya town. Yeye akigonga wine yake mi nikapiga vilaini tu na maji, tukapiga msosi wetu pale huku tukibadilishana mawazao.

Mida ya saa5 usiku dem akaniambia amechoka tuondoke nikamwambia hakuna shida.

β€œTunaenda kulala wapi beib?” akaniuliza kwa kumaanisha, nikamjibu…

β€œTwende JB hotel, ni patulivu sana”

β€œSawa!” dem akajibu na baada ya kulipia tukaondoka zetu

That’s it… Dem akaliwa kilaini kabisa, nilimuogopa sana kwa muonekano wake na jinsi alivyojiweka lakini pamoja na hayo sijamchukulia poa naamini alinipa pendo lake kirahisi sababu alinielewa and I deserve it.

Alichonifurahisha zaidi ni hiki; baada ya game la maana wote tulikuwa tumechoka, tukiwa bado tumelala kitandani akajigeuza kuniangalia akasogeza mkono wake na kuanza kuchezea lips zangu, akashusha pumzi na kutababsamu kisha akasema;

β€œMimi na wewe!!” akionyesha pia kwa ishara kwa kidole (kujipoint yeye kisha mimi) akasita kidogo, sikumuelewa nikatoa jicho la kuuliza. Akatabasamu kisha akaendelea…

β€œHata siamini! Yani mimi na wewe ni wapenzi sasa!” Nikashtuka na kutafakari anamaanisha nini, kabla sijatia neno akafunguka...

β€œNilikuwa nakuogopa sana, maana wewe ni mkimya sana siamini kama leo tuko wote hapa. NAKUPENDA SANA NAOMBA USINIACHE”

What th****!! Inamaana huyu dem alikuwa ananipenda pia!! 😍😍😍

Tuishie hapa wakuu, penzi ndo kwanza limeanza nikisema niendelee kuandika itakuwa Isidingo πŸ˜€

End

 
Me binaf sijui kutongoz ni ktk ya wale watu wakmya sana ila nikifanikiwa kuanzisha urafik na watot wa kike mara nying huwa hwachomoi kwangu πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan unaona kbs dem anajitongozesha badala ya me kumtongoza πŸ˜‚ na nikishafanikisha kuwala utaskia kumbe wewe ni muongeaji ivi me nilizan ww ni jeuri na unaringa san.

kwa jins nilivyokua mkimya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunaoteseka ni sisi wasomaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,, anyways kwa uzoefu wangu tu wanawake warembo sana wa asili huwa wepesi sana kuwakamata maana wanaume wengi huwaogopa!

Ukiweza kujiamini tu na kumfuata ukajenga rapport akakuelewa sana na akainjoy swaga zako ni raisi kumteka.
 
Story nzur ila huyu mjinga kanikera hapa tu "mataputapu (bia za buju jero 🀣)

Atanifanya niache kuzinywa
Samahani mkuu, mi mwenyewe nimezinywa sana hizo sema huwa tunaziita hivyo kwasababu moja ukipigwa zilizo expire au ambazo hazijaiva vizuri lazima asubuhi uendeshe 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…