First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

Watu wakimya ndio walivyo, unaweza hisi hana hisia na mademu ila usiombe ajenge urafiki na msichana yyte hata mtu mzima basi uwezekano wa kumtafuna ni 99%,

hii huwa inanitokea sana ila mm huwa siwatafuni nikishaona ameingia king naanza kujiweka mbali naye mwisho wa siku tunapotezena .
 
Kwa nilivyokusoma kwa maandishi huyo demu si mkali km unavyoamini, km mzuri basi hajielewi na kakosa option.
Niliposema mzuri kwa jicho la kwanza namaanisha kila mtu akimuona atauona uzuri wake, hayo mengine atajijua mwenyewe 🤣
 
Samahani mkuu, mi mwenyewe nimezinywa sana hizo sema huwa tunaziita hivyo kwasababu moja ukipigwa zilizo expire au ambazo hazijaiva vizuri lazima asubuhi uendeshe 🤣🤣🤣
Afu juzi tu nilikuwa bar jamaa mmoja akawa anazichambua bia namna zinavyotengenezwa,hili la kutoiva vizuri alilisema ila sikuwa naamini,ila niliwah kuendesha mara nying tu nikajua labda ni tumbo langu tu
 
Ulivyomchukua bar mpaka na wewe ushamlala, jiulize ni wangapi wamefanya kama wewe?
Oh nimekumbuka ndege wafanana?............
Nyote ni cheap ni mwendo wa kuzoana bar.
 
Ulivyomchukua bar mpaka na wewe ushamlala, jiulize ni wangapi wamefanya kama wewe?
Oh nimekumbuka ndege wafanana?............
Nyote ni cheap ni mwendo wa kuzoana bar.
Kunikubalia mimi haimaanishi kila aliyemtongoza ashamla. Hata mimi si kila mwanamke nnaye mtamanani lazima nimtongoze.... 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…