Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni
great thinker
Nashukuru sana hii mbinu nimeikubali knoma lazima apate French kissInatakiwa ujiamini
Usionyeshe wasiwasi wala woga mbele yake. Wanawake wengi smart, wanapenda mwanamume anayejiamini.
Yaani hakikisha umkeep charming, mfanye afurahi wakati wote akiwa na wewe hata atakapoondoka, aende akiwaza furaha anayoipata akiwa na wewe.
Jaribu Kutengeneza mazingira wakati unamwaga, umpe kiss la kwenye paji la uso/shavuni au ikiwezekana ukimsoma ukaona hana neno, mkiss short kiss ya mdomoni.
Usizungumzie suala la kumtafuna kabisa kwenye iyo date kesho. Atakukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi zinguwa hii nafasi nimeisubili kwa 2yrs
Kweli mkuu 2 yrs mingi kinoma ndo maana nataka nione nyavu hawezi nifanya zwazwaKama mwanamke anakukatalia amiaka 2 huyo hana shida na wewe. Kama utampata maeneo akijipinda tu usimpe nafasi. Baada ya hapo na wewe mringie. Miaka 2 aisee una moyo. Mi ikizidi wiki3 tu basi. Hata uwe mzuri ka malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
huhuhuhuKwa kupania huku,kesho unatoa boko on the spot
vp brother,Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni
great thinker
Mzigo sijala ila kasema anakuja ghetto
apo ume fanya vzurMzigo sijala ila kasema anakuja ghetto
great thinker