First date;Naomba ushauri wenu.

First date;Naomba ushauri wenu.

Inatakiwa ujiamini

Usionyeshe wasiwasi wala woga mbele yake. Wanawake wengi smart, wanapenda mwanamume anayejiamini.

Yaani hakikisha umkeep charming, mfanye afurahi wakati wote akiwa na wewe hata atakapoondoka, aende akiwaza furaha anayoipata akiwa na wewe.

Jaribu Kutengeneza mazingira wakati unamwaga, umpe kiss la kwenye paji la uso/shavuni au ikiwezekana ukimsoma ukaona hana neno, mkiss short kiss ya mdomoni.

Usizungumzie suala la kumtafuna kabisa kwenye iyo date kesho. Atakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwanamke anakukatalia amiaka 2 huyo hana shida na wewe. Kama utampata maeneo akijipinda tu usimpe nafasi. Baada ya hapo na wewe mringie. Miaka 2 aisee una moyo. Mi ikizidi wiki3 tu basi. Hata uwe mzuri ka malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just be yourself and enjoy the time together. Ustaarabu muhimu sana lakini kuchombeza pia muhimu ukiona anakutolea nje usiwe king'ang'anizi.

Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni

great thinker
 
Inatakiwa ujiamini

Usionyeshe wasiwasi wala woga mbele yake. Wanawake wengi smart, wanapenda mwanamume anayejiamini.

Yaani hakikisha umkeep charming, mfanye afurahi wakati wote akiwa na wewe hata atakapoondoka, aende akiwaza furaha anayoipata akiwa na wewe.

Jaribu Kutengeneza mazingira wakati unamwaga, umpe kiss la kwenye paji la uso/shavuni au ikiwezekana ukimsoma ukaona hana neno, mkiss short kiss ya mdomoni.

Usizungumzie suala la kumtafuna kabisa kwenye iyo date kesho. Atakukimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana hii mbinu nimeikubali knoma lazima apate French kiss

great thinker
 
Kama mwanamke anakukatalia amiaka 2 huyo hana shida na wewe. Kama utampata maeneo akijipinda tu usimpe nafasi. Baada ya hapo na wewe mringie. Miaka 2 aisee una moyo. Mi ikizidi wiki3 tu basi. Hata uwe mzuri ka malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu 2 yrs mingi kinoma ndo maana nataka nione nyavu hawezi nifanya zwazwa

great thinker
 
Habari zenu wakuu .Niende kwenye maada
Ni hivi kuna msichana mmoja nimetongoza yapata miaka 2 lakini Leo amenipa green ligh/amekubali.Kuonyesha amekubali ameniomba tu date kwa siku ya kesho yaani hapa nawaza balaa.Naomba msaada kàtika mambo hoya
1]Maneno gani ya kumwambia ili nisiharibu profile yangu?
2]Matendo gani endapo nikiyafanya naweza kubadili mtizamo wake juu yangu?
3]Nifanya nini ili siku ya kesho nile mzigo.
Nawakaribisha.
Asanteni

great thinker
vp brother,
mrejesho
umepata mziogooo ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwekee condom mezan atajua unajali sana, unapenda usalama wa raia wako na ni mwaminifu. Hicho ndicho wanachopenda mashost. Hapo umemaliza kila kitu bila kutia neno
 
Back
Top Bottom