Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Inatakiwa ujiamini
Usionyeshe wasiwasi wala woga mbele yake. Wanawake wengi smart, wanapenda mwanamume anayejiamini.
Yaani hakikisha umkeep charming, mfanye afurahi wakati wote akiwa na wewe hata atakapoondoka, aende akiwaza furaha anayoipata akiwa na wewe.
Jaribu Kutengeneza mazingira wakati unamwaga, umpe kiss la kwenye paji la uso/shavuni au ikiwezekana ukimsoma ukaona hana neno, mkiss short kiss ya mdomoni.
Usizungumzie suala la kumtafuna kabisa kwenye iyo date kesho. Atakukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app