First eleven yangu ya members wa JF 2019

Hahahaa i understand. Siku hizi sina kazi mpya. Nimejifungia tu kule Likes mpaka nasahaulika majukwaa mengine
 
Nilikuwa namalizia jambo hapa kisha nije nimalizie First eleven yangu ujue.

Nautambua uwezo wake hasa kwenye ule uzi wa Njoo tucheke pamoja yaani nao waeza bakia kucheka tu mana kila picha anayoituma ni ya kuchekesha hasaa.

Awesome rafiki Numbisa.
 
U

Meona eeh Shadeeya, bilashaka ushamaliza kufanya hilo lililokua linakukabili, twasubiri first eleven yako sasa
 
Asante sana mkuu barikiwa[emoji113]
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Yah!! Nshamaliza tayari.

Ooh. Kumbe wasubiria eee? Sawa naja nayo soon.
Karibu mamii ila ukiwa kama kocha mchezaji hakikisha kama kuna namba inapwaya unaingia wewe mwenyewe kuchezaπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Na epuka upendeleo kwenye kikosi, usiangalie marafiki, mpenzi, ndugu, jirani au mshikaji. Weka kikosi cha haki kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…