Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ni wivu tuAmigo, ahsante kwa tuwakilisha mujarab kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wivu tuAmigo, ahsante kwa tuwakilisha mujarab kabisa...
Jamani ahsante mate... I love youSmart911
Kiranga
Kiduku Lilo
CONTROLA
Depal
Zesh
Saint anne
Khantwe
Sky Eclat
Mshana Jr
Malcom Lumumba
Rebeca83
binti kiziwi
Mwifwa
miss zomboko
First 15 ya Yna2.
Ni kweli Shadeeya JF ina mambo mengi mengine yanakera na mengine mengi mazuri sana. Yaani yanaburudisha, yanaelimisha na yanatupasha habari mbalimbali zile serious na za udaku pia
Ila umesahau kitu kimoja, nakujua wewe ni shabiki mkubwa wa Numbisa na kazi zake lakini hukumuwekamo hapo kwa list yako, hebu tambua uwepo wake basi mamii🤪🤪🤪
Nilikuwa namalizia jambo hapa kisha nije nimalizie First eleven yangu ujue.Ni kweli Shadeeya JF ina mambo mengi mengine yanakera na mengine mengi mazuri sana. Yaani yanaburudisha, yanaelimisha na yanatupasha habari mbalimbali zile serious na za udaku pia
Ila umesahau kitu kimoja, nakujua wewe ni shabiki mkubwa wa Numbisa na kazi zake lakini hukumuwekamo hapo kwa list yako, hebu tambua uwepo wake basi mamii🤪🤪🤪
Madini burudaniEeh... Leo
Siamini.. Michango yangu ina nn jaman 😅
Golini hawakai makipa wawiliUtampagaje Faiza Foxy ukamuacha Sheikh Mohamed Said kwenye timu yako?
I appreciate you my DrMzalendo katika ubora wako, umeniweka beki kabisa. Safi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Uendelee sasa kutuletea mambo Numbisa, you ere missed kwakweliHahahaa i understand. Siku hizi sina kazi mpya. Nimejifungia tu kule Likes mpaka nasahaulika majukwaa mengine
Meona eeh Shadeeya, bilashaka ushamaliza kufanya hilo lililokua linakukabili, twasubiri first eleven yako sasaNilikuwa namalizia jambo hapa kisha nije nimalizie First eleven yangu ujue.
Nautambua uwezo wake hasa kwenye ule uzi wa Njoo tucheke pamoja yaani nao waeza bakia kucheka tu mana kila picha anayoituma ni ya kuchekesha hasaa.
Awesome rafiki Numbisa.
Umeniwahi tu mdogo wangu kwani hapa nilikuwa namalizia pirika zangu hapa kibandani kisha nije niishushe ingine. 😀Pale ambapo Dada anamsahau mdogo wake, hata mimi pia nimekusahau. Ngoma droo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Asante sana mkuu barikiwa[emoji113]Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..
1. Mshana Jr
2. Chige
3. okwi boban sunzu
4. Salary Slip
5. @khatwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo
=====UPDATES======
Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..
SUBS :
Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, @Extrovent, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa..
Unaweza panga kikosi chako pia.
UZI TAYARI.
Yah!! Nshamaliza tayari.U
Meona eeh Shadeeya, bilashaka ushamaliza kufanya hilo lililokua linakukabili, twasubiri first eleven yako sasa
Hizi sifa za keyboard ni tamu sanaI appreciate you my Dr
🙏🙏🙏🙏Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..
1. Mshana Jr
2. Chige
3. okwi boban sunzu
4. Salary Slip
5. @khatwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo
=====UPDATES======
Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..
SUBS :
Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, @Extrovent, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa..
Unaweza panga kikosi chako pia.
UZI TAYARI.
😂😂😂Hizi sifa za keyboard ni tamu sana
Mtumeee rasulHuyo baba swalehe si wamemzika last week
Karibu mamii ila ukiwa kama kocha mchezaji hakikisha kama kuna namba inapwaya unaingia wewe mwenyewe kucheza🤪🤪🤪Yah!! Nshamaliza tayari.
Ooh. Kumbe wasubiria eee? Sawa naja nayo soon.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeniwahi tu mdogo wangu kwani hapa nilikuwa namalizia pirika zangu hapa kibandani kisha nije niishushe ingine. [emoji3]
Zifuatazo ni sifa za Tigo PesaHizi sifa za keyboard ni tamu sana