First eleven yangu ya members wa JF 2019

Sijamalizia kusoma ujue Ses mana hicho kiparagirafu cha kwanza kimeniacha hoi. Naomba nicheke kwanza kisha nimalizie kusoma ulichoandika. 😂😂😂😂😂
 
Sijamalizia kusoma ujue Ses mana hicho kiparagirafu cha kwanza kimeniacha hoi. Naomba nicheke kwanza kisha nimalizie kusoma ulichoandika. 😂😂😂😂😂
Ndo manake Shadeeya. Miaka ya 90 pale Lunyasi kulikua na kocha mchezaji Hasan Hafif. Anasoma mchezo wee kisha anafanya sub anajiingiza uwanjani dk 15 za mwisho. Basi asipofunga yeye lazima atatoa assist kali sana kina Zamoyoni Mogella wanamaliza, uwe kama yeye🤪🤪🤪
 
Sawa sawa Ses naona umeongezea nyama eti. 😜
 
Uzi siupendi huu! Umekaa kujuana juana Tuu...Ndio maana niliweka uzi wangu Tusiojulikana ukafutwa hapa,hii changamoto isipoangaliwa hapa nayo ni jipu haki nawaambia humu kuna makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…