Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Sijamalizia kusoma ujue Ses mana hicho kiparagirafu cha kwanza kimeniacha hoi. Naomba nicheke kwanza kisha nimalizie kusoma ulichoandika. 😂😂😂😂😂Karibu mamii ila ukiwa kama kocha mchezaji hakikisha kama kuna namba inapwaya unaingia wewe mwenyewe kucheza🤪🤪🤪
Na epuka upendeleo kwenye kikosi, usiangalie marafiki, mpenzi, ndugu, jirani au mshikaji. Weka kikosi ca haki kabisa😀😀😀