First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Karibu mamii ila ukiwa kama kocha mchezaji hakikisha kama kuna namba inapwaya unaingia wewe mwenyewe kucheza🤪🤪🤪

Na epuka upendeleo kwenye kikosi, usiangalie marafiki, mpenzi, ndugu, jirani au mshikaji. Weka kikosi ca haki kabisa😀😀😀
Sijamalizia kusoma ujue Ses mana hicho kiparagirafu cha kwanza kimeniacha hoi. Naomba nicheke kwanza kisha nimalizie kusoma ulichoandika. 😂😂😂😂😂
 
Sijamalizia kusoma ujue Ses mana hicho kiparagirafu cha kwanza kimeniacha hoi. Naomba nicheke kwanza kisha nimalizie kusoma ulichoandika. 😂😂😂😂😂
Ndo manake Shadeeya. Miaka ya 90 pale Lunyasi kulikua na kocha mchezaji Hasan Hafif. Anasoma mchezo wee kisha anafanya sub anajiingiza uwanjani dk 15 za mwisho. Basi asipofunga yeye lazima atatoa assist kali sana kina Zamoyoni Mogella wanamaliza, uwe kama yeye🤪🤪🤪
 
Karibu mamii ila ukiwa kama kocha mchezaji hakikisha kama kuna namba inapwaya unaingia wewe mwenyewe kucheza🤪🤪🤪

Na epuka upendeleo kwenye kikosi, usiangalie marafiki, mpenzi, ndugu, jirani au mshikaji. Weka kikosi cha haki kabisa😀😀😀
Mmekuelewa sana. De la Boss. 💃💃💃
 
Ndo manake Shadeeya. Miaka ya 90 pale Lunyasi kulikua na kocha mchezaji Hasan Hafif. Anasoma mchezo wee kisha anafanya sub anajiingiza uwanjani dk 15 za mwisho. Basi asipofunga yeye lazima atatoa assist kali sana kina Zamoyoni Mogella wanamaza, uwe kama yeye🤪🤪🤪
Sawa sawa Ses naona umeongezea nyama eti. 😜
 
Back
Top Bottom