First eleven yangu ya members wa JF 2019

Aisee
 
Hongera sana mkuu ila haujaweka ubora wao unatokana na nini au kuchangia mada sana?

Mimi kwangu Top 10 ni:-

1.Paskali Mayalla aka NJAA Pascal Mayalla mambo yote current na yaliyopita,ya kubashiri etc yupo vizuri
2.Cheif Mkwawa kwenye tech yupo vizuri
3.The Bold kwenye swala zima la story za kijajusi na makala

List itaendelea
 
Hujamuona dada yangu mpendwa Shunie
 
Mkuu magnifico!!

Much respect, and thanks for the compliment! Inapendeza kuona kwamba graph yangu kwako bado haijashuka ingawaje siku hizi tunajikita majukwa tofauti kidogo ukilinganisha enzi zile ambazo ima fahima, lazima tukutane kule Celebrities & Entertainment!
 
Kwa heshima yako mh mjumbe, naunga hoja mkono.

Ukwaju ni mtu muhimu sana katika maeneo ya outerspace[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vyeo vingine kiboko
ahera wala duniani havimo naona mpo katikati palipokatazwa na wala jukwaa lake halipo
 
Kwa kujimwambafai kote huku, sijatajwa...
Kumbe kujimwambafai sio dili.
kwenye reserve upo Mkuu
unajua unaishi Nyanda za Juu story zako za baridibaridi haiztufikii
labda mwaka kesho 20 20 hamia kwenye joto unaweza shika top ktk eleven km kina Mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…