First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Aisee
kweli kabisa lkn kuna member wengi tu wapo hewani wanachungulia km mimi yaani hatupitwi
unajua wakongwe huwa wanachunguzlia na kusawazisha mfano No 1 nampa Max bila yeye humu tungeshafunga JF au tunacheza na Nyavu Magerezani
Kashinda Tuzao ya Kimataifa hata Ikkulu hawajamuita, Bungeni au sisi Member tupotupo tu nyuma ya Keybody
 
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..

1. Mshana Jr
2. Chige
3. OKW BOBAN SUNZU
4. Salary Slip
5. Khantwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo

=====UPDATES======

Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..

SUBS :

Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, extrovet, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa
binti kiziwi

Unaweza panga kikosi chako pia.



UZI TAYARI.
Hongera sana mkuu ila haujaweka ubora wao unatokana na nini au kuchangia mada sana?

Mimi kwangu Top 10 ni:-

1.Paskali Mayalla aka NJAA Pascal Mayalla mambo yote current na yaliyopita,ya kubashiri etc yupo vizuri
2.Cheif Mkwawa kwenye tech yupo vizuri
3.The Bold kwenye swala zima la story za kijajusi na makala

List itaendelea
 
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..

1. Mshana Jr
2. Chige
3. OKW BOBAN SUNZU
4. Salary Slip
5. Khantwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo

=====UPDATES======

Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..

SUBS :

Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, extrovet, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa
binti kiziwi

Unaweza panga kikosi chako pia.



UZI TAYARI.
Hujamuona dada yangu mpendwa Shunie
 
Mkuu magnifico!!

Much respect, and thanks for the compliment! Inapendeza kuona kwamba graph yangu kwako bado haijashuka ingawaje siku hizi tunajikita majukwa tofauti kidogo ukilinganisha enzi zile ambazo ima fahima, lazima tukutane kule Celebrities & Entertainment!
 
Kwa heshima yako mh mjumbe, naunga hoja mkono.

Ukwaju ni mtu muhimu sana katika maeneo ya outerspace[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vyeo vingine kiboko
ahera wala duniani havimo naona mpo katikati palipokatazwa na wala jukwaa lake halipo
 
Kwa kujimwambafai kote huku, sijatajwa...
Kumbe kujimwambafai sio dili.
kwenye reserve upo Mkuu
unajua unaishi Nyanda za Juu story zako za baridibaridi haiztufikii
labda mwaka kesho 20 20 hamia kwenye joto unaweza shika top ktk eleven km kina Mshana
 
Back
Top Bottom