AahHahaha, acha tu. Wanawake waliboreka Ile mbaya na hii statement.
No wonder wamemuwekea grudge mpaka kesho. Imagine the very first woman to run for president na wala hakuwa popular ki hivyo sana kwa wanawake..
Halaf sija mfuatiliaga saaana Diana itabid siku unipe stori yake.Khaa!, aseh. Naona alikuwa kama Diana tu with her love life.
Sijui kwa kwa nini watu kama hawa wanakuwaga na issues sana kwenye mahusiano.
Ex wife wa Anold Schwarzenegger ni mmoja kati ya Kennedy wachache waliobakiMmmh! Ile familia ilikuwa ina majanga mwenzio hata sjuagi kwa nini.
Hata Jackie ali olewa na jamaa at least kuhakikisha kuwa ana potza haki zite za u first lady mstaafu na awe mbali na macho ya wanao wawinda. Ambao hadi keo huwa nashindwa kujua. Was it FBI au some mafia gangs tuu!
Hapo ndiyo unapoona kuwa money is not everything in life,
Hands down kwa Michelle she was just a modern first lady.
Sasa Melania katurudisha enzi za kina Bess Truman [emoji23].
Umenikumbudha Laura, japo mama mkwr wake Babra was loved more as a first lady than her.
Melania anajitahid penyewe kazi alikywa haitaki si mbaya.
Eeeh! Hivi anaitwa nan yule sistaEx wife wa Anold Schwarzenegger ni mmoja kati ya Kennedy wachache waliobaki
Ila Michelle mbona media zilikuwa zina muelewa tuu labda zile right wing media. Ila Bado hakupata scrutiny sanaa.
Labda mwanzoni kipindi hawaja mjua they thought she was too angry for no reason.
HahahaHahaha!, jamani, eti Bess..
Barbra si ndio wale classy ladies wa enzi hzo. Pia alikuwa ana progran yake hiyo ya literacy kwa watoto.Barbara nae kumbe alipendwa?!
Namuonaga serious all the time. Nilipenda sana lakini alivyo campaign kwa ajili ya Jeb. That was sweet of her.
Its reasonable
Fikiria wewe ume muajiri fundi halafu unakuta anakuja mke wake ana aanza kukwambia" haya toeni vitu flani weka hapa" huta muelewa na ata kukera.
Na hata rais ndio hivo. Mama we elected your husband not you, now sit down and let him do the job.
Ndio maana Michelle na MA yake ya Havard ilibid naye awe mtulivu kama maza house tuu.
Hata wazungu wanakubali kuwa baada ya Jackie na JFK the next matching couple was Michelle and Barrack
Yes nakumbuka 2008 hiyo kina Hillary ndio wa kwanza kumchafua. Kwenye Primaries [emoji23]Hehehe!, angry black woman, wabaya wale! [emoji3]
Ila she was not beautiful labda ndio maana Arnold ali cheat [emoji23]Maria Shrival
For me
Jackie na Jfk siwapi credit kwakuwa walikuwa wanafekisha mambo.
I liked more Nancy and Ron! Yaan nadhani hawa ndio my relationship goals
Nadhani ndo ana fuata Michelle and Barry.
This applies to all hata first gentleman, sjui firat man, frist gentleday or what ever names a husband of a female president will be called.I see!, Fair enough.
Lakini mtu asipokuelewa vizuri kumtenga first lady inaonekana kama sexism.