First Lady anaestahili pongezi ni Melaine Trump

First Lady anaestahili pongezi ni Melaine Trump

Hahaha, acha tu. Wanawake waliboreka Ile mbaya na hii statement.
No wonder wamemuwekea grudge mpaka kesho. Imagine the very first woman to run for president na wala hakuwa popular ki hivyo sana kwa wanawake..
Aah
She was just a bad candidate na maisha yake ya ikulu yalikuwa yana add more liability.

Akome [emoji1]
 
Khaa!, aseh. Naona alikuwa kama Diana tu with her love life.
Sijui kwa kwa nini watu kama hawa wanakuwaga na issues sana kwenye mahusiano.
Halaf sija mfuatiliaga saaana Diana itabid siku unipe stori yake.
Tuta tafuta ka muda ketu
 
Mmmh! Ile familia ilikuwa ina majanga mwenzio hata sjuagi kwa nini.
Hata Jackie ali olewa na jamaa at least kuhakikisha kuwa ana potza haki zite za u first lady mstaafu na awe mbali na macho ya wanao wawinda. Ambao hadi keo huwa nashindwa kujua. Was it FBI au some mafia gangs tuu!
Ex wife wa Anold Schwarzenegger ni mmoja kati ya Kennedy wachache waliobaki
 
Umenikumbudha Laura, japo mama mkwr wake Babra was loved more as a first lady than her.

Melania anajitahid penyewe kazi alikywa haitaki si mbaya.

Barbara nae kumbe alipendwa?!

Namuonaga serious all the time. Nilipenda sana lakini alivyo campaign kwa ajili ya Jeb. That was sweet of her.
 
Hahaha!, jamani, eti Bess..
Hahaha
Eeh halaf naye ali mrithi Eleanor Roosevekt ambaye alikuwa ni bonge ya activist first lady. Ni kama Melania alivo mrithi Michelle.

Yaan hata ukiangalia Bess as a fiest lady, historia yake ni ndogo, she just was there laying lpw.
 
Barbara nae kumbe alipendwa?!

Namuonaga serious all the time. Nilipenda sana lakini alivyo campaign kwa ajili ya Jeb. That was sweet of her.
Barbra si ndio wale classy ladies wa enzi hzo. Pia alikuwa ana progran yake hiyo ya literacy kwa watoto.
Babra alipendwa saana.

[emoji23] alisema Jeb ni mpole mno eti ajitahid kujikaza kdogo. Na hampendi Trump mpaka kesho.
 
Its reasonable
Fikiria wewe ume muajiri fundi halafu unakuta anakuja mke wake ana aanza kukwambia" haya toeni vitu flani weka hapa" huta muelewa na ata kukera.
Na hata rais ndio hivo. Mama we elected your husband not you, now sit down and let him do the job.
Ndio maana Michelle na MA yake ya Havard ilibid naye awe mtulivu kama maza house tuu.

I see!, Fair enough.

Lakini mtu asipokuelewa vizuri kumtenga first lady inaonekana kama sexism.
 
For me
Jackie na Jfk siwapi credit kwakuwa walikuwa wanafekisha mambo.

I liked more Nancy and Ron! Yaan nadhani hawa ndio my relationship goals
Nadhani ndo ana fuata Michelle and Barry.

Duh, kama ilifikia point ya ku fake?!

They were done!

Lakini mtoto wa John Jr. nae uzuri akaja kuwa very handsome and popular with his model wife. But they were cut short too..ile familia!
 
I see!, Fair enough.

Lakini mtu asipokuelewa vizuri kumtenga first lady inaonekana kama sexism.
This applies to all hata first gentleman, sjui firat man, frist gentleday or what ever names a husband of a female president will be called.
Kama hukuchaguliwa eka makalio chini lay low. Mwache alo chaguliwa apige kazi.

Aaah Sexism mambo yenu Democrats hayo. So much political correctnes mi hata huwa sijali [emoji23].
 
Back
Top Bottom