Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
AahHahaha, acha tu. Wanawake waliboreka Ile mbaya na hii statement.
No wonder wamemuwekea grudge mpaka kesho. Imagine the very first woman to run for president na wala hakuwa popular ki hivyo sana kwa wanawake..
She was just a bad candidate na maisha yake ya ikulu yalikuwa yana add more liability.
Akome [emoji1]