BRIGITTE TROGNEUX
Ana umri wa 64 na mume ana 39! walioana 2007! na inajulikana mwanamama aliwahi kuwa mwalimu wa Pres. Macron.
ALIOLEWA NA BANKER WAKATALIKIANA...
Aliolewa na mfanyakazi wa benki, Andre Louis Auziere, ambaye alizaa nae watoto 3 na wajukuu 7.
So Rais Macrona ana wajukuu wa kufikia saba na watoto 3!
View attachment 513018
Ha ha ha ha haaaa umenifanya nicheke aseeHuyu bibi ana bahati.umri mkubwa,watoto.wajukuu lakini ameolewa.wapo humu hawana hata watoto lakini kuolewa mpaka waweke matangazo kwanza.
hana adabu kabisa [emoji3] [emoji3]Huyu alikuwa mwalimu wake
So jamaa alimtongoza mwalimu
😉🙂 Niko hoi, sina mbavu, tatizo wanachaguwa mno, hahahahaha, aiseee...Huyu bibi ana bahati.umri mkubwa,watoto.wajukuu lakini ameolewa.wapo humu hawana hata watoto lakini kuolewa mpaka waweke matangazo kwanza.