mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Angesindikizwa na matusi flavour pamoja na laana na kususiwa mtoto wa watu,pia angepachikwa jina la MarioHuyo angekuwa bongo sijui angekuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angesindikizwa na matusi flavour pamoja na laana na kususiwa mtoto wa watu,pia angepachikwa jina la MarioHuyo angekuwa bongo sijui angekuwaje
HahahahaUkweli Dunia haiko sawa kabisa bibi wa miaka64 anaolewa na kuwa first Lady lakini wenye miaka20_30 kutwa kwa waganga wanasaka ndoa
Uchochezi huu subiri km utaachwaHuyu bibi ana bahati.umri mkubwa,watoto.wajukuu lakini ameolewa.wapo humu hawana hata watoto lakini kuolewa mpaka waweke matangazo kwanza.
Akina nani hao? Ebu watajeKumbe madem wa bongo movie hawajakosea
Haaaaaaa.Uchochezi huu subiri km utaachwa
Na kama jongoo wake hapandi mtumgi je?Hata kama ni kuoa bibi si kwa umri huo... marcon amevuka viwango.
Lazima atakuwa anachepuka huyu.. hamana jinsi..
Kwanza unalalaje nae kitandan na hiyo sura?