babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
mijipumbavu pumbavu tu km hii ndio inaanza kuongea upuuzi,huyo mama na wanae washashinda,bwana anaweza kujjikata tu akarudi kivingine labda mwalimu wa jogg au climb kwa madameKwani vipi leo ni birthday yake au? Hujasema unataka sisi tufanyeje au unadhani hatujui kama huyo mama naye kazaliwa kama sisi?