First Lady wa Ufaransa

First Lady wa Ufaransa

Kwani vipi leo ni birthday yake au? Hujasema unataka sisi tufanyeje au unadhani hatujui kama huyo mama naye kazaliwa kama sisi?
mijipumbavu pumbavu tu km hii ndio inaanza kuongea upuuzi,huyo mama na wanae washashinda,bwana anaweza kujjikata tu akarudi kivingine labda mwalimu wa jogg au climb kwa madame
 
nilisoma mahali jamaa akiwa na 15 years alimtongoza huyo mama aliyekuwa mwalimu wake; mwalimu akaamua kuvunja ndoa yake ili aolewe nae. Haya kazi kwenu.
 
Jamaa hana hata mtoto, na Kibiolojia huyu Bibi hawez kuzaa, soo Jamaaa ameridhika na hilo....
Kwa mawifi wa kibongo wallah vile kesho yake unaamka uko juu ya MUANZI
 
Jamaa hana hata mtoto, na Kibiolojia huma Bibi hawez kuzaa soo Jamaaa ameridhika na hilo....
Kwa mawifi wa kibongo wallah vile kesho yake unaamka uko juu ya MUANZI
Sipati mawifi wenyewe wangekuwa dada zangu wa Dar es salaam.
 
Ama kweli kuolewa ni bahati,kuzaa ni majaaliwa!
 
Kuna watu waoga wa wanawake hata wawe matajiri
 
Back
Top Bottom