Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Love na bibi?Love hiii!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu we Nouma wengine mpaka kwa waganga[emoji2] [emoji2]Huyu bibi ana bahati.umri mkubwa,watoto.wajukuu lakini ameolewa.wapo humu hawana hata watoto lakini kuolewa mpaka waweke matangazo kwanza.
Sijui watu wanataka nn ?Labda tutaja ona kashfa kama za rais mstaafu François Hollande maana yy alikuwa mseja ila kutwa Vimanda sasa Macron yuko na bibi ila watu bado maneno
Hahahhaaaaaaa Mapenzi mkuu Macron ametoa tafasiri pana sana na funzo kwa jamii nadhani kwa ili Africa bado tuko na ukakasiSijui watu wanataka nn ?
Na hizi ni fikra za Mtanzania halisi.Hata kama ni kuoa bibi si kwa umri huo... marcon amevuka viwango.
Lazima atakuwa anachepuka huyu.. hamana jinsi..
Kwanza unalalaje nae kitandan na hiyo sura?
Huyu bibi ana bahati.umri mkubwa,watoto.wajukuu lakini ameolewa.wapo humu hawana hata watoto lakini kuolewa mpaka waweke matangazo kwanza.
Haaaaaa.bibi kaoga maji gani sijui.Ha ha ha ha, bibi ana nyota Kali kuzidi hata vijana...