First Lady wa Ufaransa

Hutu bibi alianza kumbaka Macron tangu akiwa na miaka 15. Wazazi wake moja wakamuamisha shule. Lakini mapenzi hayakukoma
Inawezekana kabisa na kamuharibu kisaikolojia mpaka anafikia kumuoa
 
Jaribuni kuelewa, alivyoanza nae mahusiano hakuwa hivyo. Alikuwa kwenye arobaini na kitu hivi, ingawa Macron alikuwa kijana mdogo sana lakini huyo mnae muona bibi alikuwa bado ni mwenye mvuto na mrembo kama JLO kwa sasa.
 
Hata kama ni kuoa bibi si kwa umri huo... marcon amevuka viwango.
Lazima atakuwa anachepuka huyu.. hamana jinsi..
Kwanza unalalaje nae kitandan na hiyo sura?
Na hizi ni fikra za Mtanzania halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…