First Lady wa Ufaransa

Mi naona kumpenda huyo bibi hajakosea,ila kosa lake ni kama yeye mwenyewe hana mtoto hata mmoja,kisha yuko hepi na hiko kibibi.
 
Huyo bibi kajitahidi kujitunza, mama zetu wengi wakifikia umri huo (64) wanakuwa wamechoka kweli
 
Je wajua Mke wa Rais wa sasa wa Ufaransa, Bi. Brigitte Marie-Claude anamzidi kwa miaka 40 mumewe Emmanuel Macron (alimuoa Emmanuel akiwa na miaka 15 tu).
FUNZO;
1. Kwenye mapenzi umri haujalishi;
2. Kwenye Siasa tusipekenyue mambo binafsi (mahusiano, dini wala kabila) bali historia ya utendaji na taaluma (ikibidi).
3. kwa hiyo vijana hatufungwi kuoa tubinti tupinga mizinga bali waweza kupanua wigo hata wastaafu wa EAC iliyovunjika mwaka 1977.

cc. Ben Ten a.k.a Msingi Kiuno
NB: Salamu za pole kwa Dangote Chibu kwa kufiwa na mume mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…