First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

yap nimeolewa....
then what if I say its my secret kwann nimechagua cos iyo then ninajua ninachkifny cjakurupuk so worry out siwez kuelezea my personal details kweny public networks
 
naomba kujua ikiwa sijapata mkopo no coz yangu iliandikwa priority naweza kulipoti nikiwa nimelipia direct cost tu hapo UDOM? Nimechaguliwa bacherol of education in early childhood education. naomba msaada wako .

Hehehe mkuu kwa nini ume-assume kua nipo UDOM?
Sorry sipo UDOM, ila unaweza uliza wapo watu wengi tu wa UDOM kwenye hii thread.
 
ooooh just elewa kila mtu ana alivyjipngia na ukwel hakun course mbaya ni jitihad na rehm za mung so unaponiulz y nimechkua course hii nashangaa ila worry out best am OK na nilichkichgua
 
yap nimeolewa....
then what if I say its my secret kwann nimechagua cos iyo then ninajua ninachkifny cjakurupuk so worry out siwez kuelezea my personal details kweny public networks

Basi hongera,
Nimesoma BSc Computer Science & Engineering sio UDOM lakini, niliuliza tu sababu I love seeing people in any engineering related to Computer technology, nilikua curious kwa nini umechagua CE, na ningeweza kukusaidia kukupa ushauri kulingana na ambacho ungejibu. I don't see it as a secret kusema kua nimeechagua course kwa sababu fulani, tena ukizingatia JF watu mnatumia usernames ambazo si halali.

Goodluck na CE.
 
yap nimeolewa....
then what if I say its my secret kwann nimechagua cos iyo then ninajua ninachkifny cjakurupuk so worry out siwez kuelezea my personal details kweny public networks

Nasikia ni social networks sio public..
 
karbuuuuuuniiii aseee mjengoniiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
ila msulii km kawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Me Mwenzenu nasikitika cc special diploma kwa nn hatupewi mkopo?
 
mimi nitakuwepo mjengoni pale college ya informatics kupiga "bachelor of science in telecommunication engineering".

karibuni tufahamiane wakuu.

Aaah karibu dogo kk ako nipo mkubwa kambi...kuna jembe laitwaa mtaho ..daah mkuu utamjua tuu
 
Mimi pia nitakuwa hapo,ntafanya BEDA,lakini mbona mimi admission letter ninayo toka zamani,niliikuta kwenye WEB ya UDOM,au siyo yenyewe?
 
Mimi pia nitakuwa hapo,ntafanya BEDA,lakini mbona mimi admission letter ninayo toka zamani,niliikuta kwenye WEB ya UDOM,au siyo yenyewe?

Nami nitakuwepo college ya natural science
 
Mimi pia nitakuwa hapo,ntafanya BEDA,lakini mbona mimi admission letter ninayo toka zamani,niliikuta kwenye WEB ya UDOM,au siyo yenyewe?

Usiwe na hofu ndio hiyo, ziliwekwa siku nyingi tu zilizopita.
 
Kama ni first year na unataka kujifunza mengi njoo group la wasap...0652501314
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…