First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

Kwa watu wa TIBA karibun sana pale kati...
Kwa watu wa cadaver ..zipo tayar cadaver room toka mwez wa sita zinawasubiri nyie tuu ..mtakutana na dr. Mchonde pale kwenye anatomy pamoja na prof.gesase kwenye neuroanatomy
 
Wamekusikia mkuu
 
Mkuu CIVE tunapaelewa tunaosoma hapo bhana,hawa wageni tunawakaribisha kiroho safi..Waje wakutane na Prof Msele na mtata wa LG ambaye anaipeperusha bendera yake ipasavyo..Mimi nimepoteza marafiki wa karibu 9 akiwemo wa kike wawili
Wakrbisheee vzrr
 
Kwa wale wa education with ICT mtakutana na kamanda asiekuwa na makuu wa kuitwa Mr Sanga
Pia mtakutana na watu makatili kama kina Chelelo Buyobe na wengine
 
mimi nitakuwepo mjengoni pale college ya informatics kupiga "bachelor of science in telecommunication engineering".

karibuni tufahamiane wakuu.
Acheni kuleta mambo ya sekondari chuoni basi na watakao disco waanzishe thread waseme tuliodisco tukutane hapa. hapo kila mtu ataenda mwenyewe na kila mtu ataondoka mwenyewe. mbona wanao disco wanaondoka kimya kimya. ila wakati wa kuingia ndio mnaleta mbwembwe. 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Umeua
 
Back
Top Bottom