First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

Cive yetu ni shida...nimepoteza wana room watatu otee
Mkuu CIVE tunapaelewa tunaosoma hapo bhana,hawa wageni tunawakaribisha kiroho safi..Waje wakutane na Prof Msele na mtata wa LG ambaye anaipeperusha bendera yake ipasavyo..Mimi nimepoteza marafiki wa karibu 9 akiwemo wa kike wawili
 
Udom hakunaga usharobaro katika elimu ukizingua wanakuzingua ila kama utakuwa mwanamichezo utainjoy sana UDOM
 
Back
Top Bottom