First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

asnte YESU daahh..... jaman mwenzenu nmepta mkopo special diploma
 
Hivi nyie mna akl kweli group la WhatsApp Jamii forum,mnafkl usalama wa taifa wamelala ucngz eeeeh! Endeleen kuchat ipo cku mtachat na ujinga humo ndio mtajua what am I talking about
 
Ukiwa hujui kitu na ukawa na uoga basi unakuwa mpumbavu,jaribu kutueleza vizuri kulingana na ufaham wako

Kweli first year first year tu hata haina haja ya kuwawekea alama,hujui dogo ila ipo siku utakuwa na utaelewa nn ninasema.asubuh njema ngoja niingie kutafuta ugali
 
Wakuu mi nachomoka kesho, kama kuna wa project planning management tufahamiane.
 
Me Mwenzenu nasikitika cc special diploma kwa nn hatupewi mkopo?

wewe kijana acha lawama ingia olas allocation half check jina lako mbona wenzako wengi washapata special diploma ma boom yao
 
Tanzania ndio nchi ya ajabu ktk uso wa dunia.

Bado ndio nchi yenye wanaotumia muda wao ku disvalue elimu za vyuo vingine kwa mf udsm wanadharau sana udom, nawahakikishia ni matahira sana.

Nilimaliza chuo miaka mungu kidogo, nikafanyakazi, nikapata scholarship, nikasoma chuo kikubwa tu nje, nitakitaja Edinburgh, chenye heshima tuu,

nilirejea Tz nikafanyakazi, niamua kufanya masters ingine udom,

Jamani ninaujuzi na ufahamu wa vyuo, udsm nimesoma, Edinburgh nimesoma na udom pia.

udom ni chuo standard tu. nawapongeza waliochaguliwa kasomeni, chuo kinahadhi ya kimataifa. Nawapongeza wanaosoma na waliochaguliwa udsm, wale tu wasiopoteza muda wao ku kupima chuo chao na vingine. udom ni chuo bora kwa sisi tuliosoma na vyuo vya majuu, rafiki zangu waliosoma nje na walipita udom sio washamba kama baadhi waliopita na mlio udsm kupoteza muda, wataniunga mkono, nadhani wana udsm acheni ujinga. Kama hutabadilika wewe ni arrogant na ushamba mkubwa
 
Karibuni UDOM wote mliochaguliwa kwa mwaka 2016/17
 
Back
Top Bottom