Tanzania ndio nchi ya ajabu ktk uso wa dunia.
Bado ndio nchi yenye wanaotumia muda wao ku disvalue elimu za vyuo vingine kwa mf udsm wanadharau sana udom, nawahakikishia ni matahira sana.
Nilimaliza chuo miaka mungu kidogo, nikafanyakazi, nikapata scholarship, nikasoma chuo kikubwa tu nje, nitakitaja Edinburgh, chenye heshima tuu,
nilirejea Tz nikafanyakazi, niamua kufanya masters ingine udom,
Jamani ninaujuzi na ufahamu wa vyuo, udsm nimesoma, Edinburgh nimesoma na udom pia.
udom ni chuo standard tu. nawapongeza waliochaguliwa kasomeni, chuo kinahadhi ya kimataifa. Nawapongeza wanaosoma na waliochaguliwa udsm, wale tu wasiopoteza muda wao ku kupima chuo chao na vingine. udom ni chuo bora kwa sisi tuliosoma na vyuo vya majuu, rafiki zangu waliosoma nje na walipita udom sio washamba kama baadhi waliopita na mlio udsm kupoteza muda, wataniunga mkono, nadhani wana udsm acheni ujinga. Kama hutabadilika wewe ni arrogant na ushamba mkubwa