#Kikoozi
Kama we hukupata Bahati acha kukatisha madogo tamaa acha kabsa haifai hata kidogo,hujui purpose yao kwa Mungu.We kma huna Bahati kaa pembeni.
Hongeren sana wadogo zangu asitokee mtu kukushaul ujinga hyo koz uliyopangiwa ndio ndoto zako zilipo huwez jua keep on touch guys uckate tamaa ila pia dunian kuna watu wameumbwa kuwaombea wenzao mabaya.
Huyu kikooz ni hovyo kabisa, yaani kila koz yeye anaponda tuu, unaweza kuta hata sio Mtz.
Kuna watu hawajitambui kabisa humu Jf.
Nimechagulowa collage of earth science..GEOLOGY..
KUNA GROUP LA WATSAP FIRST YR UDOM NA WA MIAKA MIAKA MINGNE WANAKARBISHWA..WEKA NAMBA YAKO MI NTAKUUNGNISHA
WALE WA BATA TUJIANDAE
Nami ntakuwepo informatics kupiga software engineering
amahan wakuu nimechaguliwa coz ambayo ni non
priorty UDOM (BED-AME) Sina mzazi mmoja na
mwingine ni mlemavu hivi mkopo nitapata kweli???
Hii ni course gani mkuu mbona ni kama education??
yap ni uongozi na usimamizi katika elimu. bt ni non priority
education course zake ni priority mkuu so wory not utapata tu mkopo mwenyee nasoma hiyo course
Karibu udom
Course za ualimu mkopo wanatoa ndugu so just come down mkopo utapewa tu
#Kikoozi
Kama we hukupata Bahati acha kukatisha madogo tamaa acha kabsa haifai hata kidogo,hujui purpose yao kwa Mungu.We kma huna Bahati kaa pembeni.
Hongeren sana wadogo zangu asitokee mtu kukushaul ujinga hyo koz uliyopangiwa ndio ndoto zako zilipo huwez jua keep on touch guys uckate tamaa ila pia dunian kuna watu wameumbwa kuwaombea wenzao mabaya.
uko mwaka wa ngapi
Hongera kama utapata tatzo lolote niulze ntakusaidia mdogo wangu.
need more to know about university and iyo course plz na wew uko pale or if yes mwak wa ngp
need more to know about university and iyo course plz na wew uko pale or if yes mwak wa ngp