First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

Wakuu kwa wale wa batch ya kwanza kuna yyte ambaye amechaguliwa Bachelor of Arts in Environmental Disaster Management??

Au kama unamfaham yyte aliyechaguliwa faculty hiyo,nnashida nao kidogo.
 
Jaman wana UDOM graduation ya mwaka huu iko tr ngap hii ni kwa sabab almanac imebadilishwa kwan tr ya kufungua chuo imeongezwa mwezi mzima nakujikuta inaangukia tr iliyokuwa iwe graduu,je itawezekana trh ya kufungua chuo ndo iwe siku ya graduu?anayejua updates atutaarifu!nawasilisha.
 
Kwani na wewe unagraduate?kama ndiyo inabidi usubiri au wakifungua chuo uende kuuliza
 
Kwani na wewe unagraduate?kama ndiyo inabidi usubiri au wakifungua chuo uende kuuliza
Hapana mi ni mlezi sijajua utaratibu wa huko vyuo vikuu,kama inawezekana SKU ya kufungua chuo ikawa ndo graduu,kwa sabab trh ya kufungua chuo tu imebadilishwa mara2,almanac inabadilikabadilika kwa tunashindwa kujiridhisha tareh sahh ili tuwafanyie maandaliz vijana wet
 
Graduu ni kitu gani???

Ukawa tunasema Elimu Elimu Elimu....
 
kufungua chuo na graduation havina uhusiano kabisa ukizingatia udom wanafanya graduation Mara mbili na hawafanyii maeneo ya madarasani ni chimwaga na wahusika hawahusiani na ratiba ya masomo kazi kwao sasa kwenda au laa
 
ni haki kujiita ivy
nimechagua cos its my dream

Sio haki kujiita Mrs unless umeolewa.
Na kuchagua coz its your dream sio reason enough, your dream how? unahisi unaweza fanya nini ukisoma Computer engineering isije kua unaenda ambako sipo. Unapenda nini kinachohusiana na Computer engineering. Yaani kama unafanya application ya chuo wakisema wanaomba personal statement au wakakupa interview kukuuliza kwa nini umechagua computer engineering, ukiwaambia "its my dream" wanachukua documents zako wanazimwagia acid.
 
naomba kujua ikiwa sijapata mkopo no coz yangu iliandikwa priority naweza kulipoti nikiwa nimelipia direct cost tu hapo UDOM? Nimechaguliwa bacherol of education in early childhood education. naomba msaada wako .
 
nimechaguliwa cos ya bacherol of education in early childhood education ninaweza kulipia direct university cost pekee sababu loan board am not secured?
 
Back
Top Bottom