Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman msaada et unapoenda kulipia ada benki pale kwenye payment slip sehemu ya jina unaandika jina ambalo lipo kwenye admission letter au unaandika uliyokuwa unatumia kidato cha nne
Kwa information juu ya malipo na mazingira ya chuo..njoo tulonge #0652501314
Maswali yangu mawili,
1. Ndo unaanza UDOM, kwa nini unajiita "Mrs"???
2. Kwa nini umechagua Computer engineering?
nipo kwa BED MANAGEMENT N ADMINISTRATION vp mpya[/tuQUOTE]tupia no yako nkuadd kwa grup tuchat,,hata mm nipo hyo cozi mkuu
Jaman wana UDOM graduation ya mwaka huu iko tr ngap hii ni kwa sabab almanac imebadilishwa kwan tr ya kufungua chuo imeongezwa mwezi mzima nakujikuta inaangukia tr iliyokuwa iwe graduu,je itawezekana trh ya kufungua chuo ndo iwe siku ya graduu?anayejua updates atutaarifu!nawasilisha.
Hapana mi ni mlezi sijajua utaratibu wa huko vyuo vikuu,kama inawezekana SKU ya kufungua chuo ikawa ndo graduu,kwa sabab trh ya kufungua chuo tu imebadilishwa mara2,almanac inabadilikabadilika kwa tunashindwa kujiridhisha tareh sahh ili tuwafanyie maandaliz vijana wetKwani na wewe unagraduate?kama ndiyo inabidi usubiri au wakifungua chuo uende kuuliza
mimi nitakuwepo mjengoni pale college ya informatics kupiga "bachelor of science in telecommunication engineering".
karibuni tufahamiane wakuu.
Maswali yangu mawili,
1. Ndo unaanza UDOM, kwa nini unajiita "Mrs"???
2. Kwa nini umechagua Computer engineering?
ni haki kujiita ivy
nimechagua cos its my dream
Sio haki kujiita Mrs unless umeolewa.
Na kuchagua coz its your dream sio reason enough, your dream how? unahisi unaweza fanya nini ukisoma Computer engineering isije kua unaenda ambako sipo. Unapenda nini kinachohusiana na Computer engineering. Yaani kama unafanya application ya chuo wakisema wanaomba personal statement au wakakupa interview kukuuliza kwa nini umechagua computer engineering, ukiwaambia "its my dream" wanachukua documents zako wanazimwagia acid.