Hatari hii, dawa yake ni 2015 , ila kufikia huko maumivu yatakuwa hayabebeki due to "HYPER INFLATION"
Tumesha washtukia, na hamumuingizi mtu wenu n'go!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari hii, dawa yake ni 2015 , ila kufikia huko maumivu yatakuwa hayabebeki due to "HYPER INFLATION"
Somaiya amenunua kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security, nadhani anafanya warm up ya kuinunua Jeshi la wanachi wa Tanzania pamoja na Polisi.
By few years to come, huyu mtu atakuwa hakamatiki.
Hizi ndio habari za uchochezi na ambazo si za kweli. Kwa bahati nzuri mie mwenyewe nilikuwepo ikulu siku hiyo, kulikuwa hakuna kitu kama hicho. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Mafunzo na vitendea kazi vya snipers vinapatikana wapi?
Mafunzo na vitendea kazi vya snipers vinapatikana wapi?
Ustake ncheke..unajua unanikumbusha katuni moja inaonesha jamaa ana-vote mwenyewe anagangamala kutumbukiza kura yake huku kakunja uso kumbe box lenyewe limetobolewa!On the ballot box.
Iliyochakachuliwa?On the ballot box.
Ustake ncheke..unajua unanikumbusha katuni moja inaonesha jamaa ana-vote mwenyewe anagangamala kutumbukiza kura yake huku kakunja uso kumbe box lenyewe limetobolewa!
Nchi hii sio ya wanasiasa peke yake, na hata uchaguzi uliopita majuzikati turn-out inadhihirisha kwamba wanasiasa hawana uhalali wa kutuongoza...maana majority hawakuona kama wanafanya lolote la maana kuwaletea maendeleo, zaidi ya kujiletea maendeleo wao wenyewe familia zao na akina Somaiya, hivo hawakujitokeza kupiga kura.
do u believe jei kei ameshinda kihalali???Mhh...watu wana hasira. Nadhani lets us convince all eligible people to vote in 2015. I believe if only 70% of elligible people votes then mabadiliko ya kweli yatakuwepo.
Endeleeni kuwalamba miguu hao wanaowapa hela,siku wanaowapa kura wakidai malipo yao mtatafutana..
Iliyochakachuliwa?
Unatarajia kweli Edward Hoseah wa PCCB anaweza kuondokana na uoga wa kumkamata Tanil kwa ufisadi wa rada wakati Rais wa nchi ni besti wake na Ikulu ni kama playground yake?