Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

Somaiya amenunua kampuni ya ulinzi ya Ultimate Security, nadhani anafanya warm up ya kuinunua Jeshi la wanachi wa Tanzania pamoja na Polisi.
By few years to come, huyu mtu atakuwa hakamatiki.

Hizi ndio habari za uchochezi na ambazo si za kweli. Kwa bahati nzuri mie mwenyewe nilikuwepo ikulu siku hiyo, kulikuwa hakuna kitu kama hicho. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
 
Hizi ndio habari za uchochezi na ambazo si za kweli. Kwa bahati nzuri mie mwenyewe nilikuwepo ikulu siku hiyo, kulikuwa hakuna kitu kama hicho. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Endeleeni kuwalamba miguu hao wanaowapa hela,siku wanaowapa kura wakidai malipo yao mtatafutana..
 
On the ballot box.
Ustake ncheke..unajua unanikumbusha katuni moja inaonesha jamaa ana-vote mwenyewe anagangamala kutumbukiza kura yake huku kakunja uso kumbe box lenyewe limetobolewa!

Nchi hii sio ya wanasiasa peke yake, na hata uchaguzi uliopita majuzikati turn-out inadhihirisha kwamba wanasiasa hawana uhalali wa kutuongoza...maana majority hawakuona kama wanafanya lolote la maana kuwaletea maendeleo, zaidi ya kujiletea maendeleo wao wenyewe familia zao na akina Somaiya, hivo hawakujitokeza kupiga kura.
 
Haki ya nani nakwambia kikwete angekuwa anajua kuwa yule yamaa sijui somaiya ni fisadi wa kutupwa tena wa rada ambayo mramba na mkapawalisema hata km tutakula nyasi poa..........naamini lazima angemkamata na kumfunga..........kwa kikwete hakuna fisadi anayesalimika..........si mnaona akina rostamu,lowasa ambavyosasa hawana mani tena......urais wa kikwete hauna ubia wowote na mtu yeyote..........watz a.k,a wadanganyika
 
If what is stated in this issue is the true (I am not doubting) then the claim of fighting corruption is utterly dubious. Do our leaders take time to think of what they say and do? They are absolutely out of touch with truth. Most of them as I understand claim to be religious but they don't fear God if they believe in God at all. If they do let me remind them that there is life affter death and living after death depend on how a person lives his/her life here and now. Leaders need to remember that they are accountable to God and to the citizens of this beautiful land. How can one claim to fight corruption or as commonly known "usifisadi" and yet associates with "mafisadi?" Gooooooooooooossssssssssssssshhhhhhhhh this is truly unbecoming!
 
we kishongo unatupa utata sasa hebu tufahamishe ni nini hasa waalisema hao walinzi je huyo mtu alifika hapo kwenye part au hakufika kama alifika alipitia wapi na muda alioingia make tunapata habari nyingi hadi uingiaji tutapata picha hapahapa
 
Ustake ncheke..unajua unanikumbusha katuni moja inaonesha jamaa ana-vote mwenyewe anagangamala kutumbukiza kura yake huku kakunja uso kumbe box lenyewe limetobolewa!

Nchi hii sio ya wanasiasa peke yake, na hata uchaguzi uliopita majuzikati turn-out inadhihirisha kwamba wanasiasa hawana uhalali wa kutuongoza...maana majority hawakuona kama wanafanya lolote la maana kuwaletea maendeleo, zaidi ya kujiletea maendeleo wao wenyewe familia zao na akina Somaiya, hivo hawakujitokeza kupiga kura.

Kwa hiyo ndo unatukatisha tamaa ya kupiga kura?
 
we honi hao unaowasema ndo wanaunda serikali kupata ukuu wa mkoa lazima upasishwe na hao udc ndo balaa sasa na uwaziri nao wana nguvu fulani we kalagabhao
 
Hivi Ferrari TZ ya kazi gani kama sio ulimbukeni?naona wahindi waliamua kuwachapa bakora za macho hapo Ikulu?

watumishi wa serikali mpooo, hata ufanye kazi miaka 100 haitoshi kununa ferariii. Dah dunia is unfair
 
sitaki kupoteza energy yangu kubishana ama kueleza ubaya wa tukio.Naelekeza nguvu zangu kwenye suala la vitendo nililokusudia kufanya. Tegeni masikio mtausikia muziki wake. kila la heri Mungu ibariki TZ.Amen
 
Mhh...watu wana hasira. Nadhani lets us convince all eligible people to vote in 2015. I believe if only 70% of elligible people votes then mabadiliko ya kweli yatakuwepo.
do u believe jei kei ameshinda kihalali???
 
Endeleeni kuwalamba miguu hao wanaowapa hela,siku wanaowapa kura wakidai malipo yao mtatafutana..

Wanao tupa kura ndio wametupa ushindi wa kishindo na tena ushindi wa sunami, kwa njia ya uchaguzi huru na wa haki
 
Unatarajia kweli Edward Hoseah wa PCCB anaweza kuondokana na uoga wa kumkamata Tanil kwa ufisadi wa rada wakati Rais wa nchi ni besti wake na Ikulu ni kama playground yake?

Ikulu sasa ni pango la walanguzi na mafisadi.................
 
Back
Top Bottom