Fisi aliyeuliwa amekutwa na chapa ya jina kwenye paja lake

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
FB_IMG_1740142555367.jpg

Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la kushoto, yakisomeka MALLA N 7, ingawa maana yake haijafahamika.

Operesheni hiyo maalumu imeanzishwa kufuatia matukio ya fisi kushambulia watoto nyakati za usiku, ambapo baadhi yao wamepoteza maisha. Fisi huyo aliuliwa katika kijiji cha Kimali, Kata ya Nyamalapa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti wanyama hao hatari.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Anna Gidarya, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwamigagani, Kata ya Mwalushu, amewataka wote wanaomiliki nyara za serikali kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa wahusika wa uhifadhi haraka iwezekanavyo ili kuepuka hatua kali za kisheria.

Tangu operesheni hiyo ianze, jumla ya fisi 16 wamekwisha kuuawa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Itilima na kikosi kazi cha askari wa TAWA, TANAPA na Jeshi la Polisi.
 
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
View attachment 3244143

Plate number hiyo usafiri wa mtu N7 tena winga kabisa wamemuua aisee
 
Yani ina maana jamaa kaipga plate number ya jina hiyo N7 maana yake ni usafiri wake wa 7 kama vile msukuma 2 inavyomaanisha ndinga ya pili ya msukuma
 
Back
Top Bottom