Fisi aliyeuliwa amekutwa na chapa ya jina kwenye paja lake

SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
View attachment 3244143
Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la kushoto, yakisomeka MALLA N 7, ingawa maana yake haijafahamika.

Operesheni hiyo maalumu imeanzishwa kufuatia matukio ya fisi kushambulia watoto nyakati za usiku, ambapo baadhi yao wamepoteza maisha. Fisi huyo aliuliwa katika kijiji cha Kimali, Kata ya Nyamalapa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti wanyama hao hatari.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Anna Gidarya, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwamigagani, Kata ya Mwalushu, amewataka wote wanaomiliki nyara za serikali kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa wahusika wa uhifadhi haraka iwezekanavyo ili kuepuka hatua kali za kisheria.

Tangu operesheni hiyo ianze, jumla ya fisi 16 wamekwisha kuuawa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Itilima na kikosi kazi cha askari wa TAWA, TANAPA na Jeshi la Polisi.
Juhudi ifanyike kuwapata MALLA wengine. Wako saba au zaidi. Waliyemuua ni wa saba; MALLA N 7.
 
Nishakodi shamba sehemu aisee Kila jion kagiza kakianza fisi wanatoka kwenye shimo wanaenda misele alafu kabla ya mwangaza Ile asubuh sana wanarud shimon hawadhuru mtu wapo na mambo Yao nilitaka kuwagusa nikaambiwa na wenyeji n wa mwenye shamba niwaache.

Ukanda ni huo huo ulipotokea habari hii
 
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
View attachment 3244143
Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la kushoto, yakisomeka MALLA N 7, ingawa maana yake haijafahamika.

Operesheni hiyo maalumu imeanzishwa kufuatia matukio ya fisi kushambulia watoto nyakati za usiku, ambapo baadhi yao wamepoteza maisha. Fisi huyo aliuliwa katika kijiji cha Kimali, Kata ya Nyamalapa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti wanyama hao hatari.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Anna Gidarya, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwamigagani, Kata ya Mwalushu, amewataka wote wanaomiliki nyara za serikali kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa wahusika wa uhifadhi haraka iwezekanavyo ili kuepuka hatua kali za kisheria.

Tangu operesheni hiyo ianze, jumla ya fisi 16 wamekwisha kuuawa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Itilima na kikosi kazi cha askari wa TAWA, TANAPA na Jeshi la Polisi.
Kwa wataalam wa maswala ya elimu ya uganga na uchawi, usafiri wa Fisi ni wa daraja lipi?
Maana twasikia kuna usafiri wa kutumia pia Ungo, mfangio, Fimbo, kijiko nk nk.
Broo Mshana Jr na wengine karibu
 
SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
View attachment 3244143
Askari wa Mamlaka ya Wanyamapori kwa kushirikiana na TANAPA na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kumuua fisi mmoja katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, baada ya kuingia katika makazi ya wananchi. Cha kushangaza, fisi huyo alikutwa na maandishi kwenye paja lake la kushoto, yakisomeka MALLA N 7, ingawa maana yake haijafahamika.

Operesheni hiyo maalumu imeanzishwa kufuatia matukio ya fisi kushambulia watoto nyakati za usiku, ambapo baadhi yao wamepoteza maisha. Fisi huyo aliuliwa katika kijiji cha Kimali, Kata ya Nyamalapa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhibiti wanyama hao hatari.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima, Anna Gidarya, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mwamigagani, Kata ya Mwalushu, amewataka wote wanaomiliki nyara za serikali kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa wahusika wa uhifadhi haraka iwezekanavyo ili kuepuka hatua kali za kisheria.

Tangu operesheni hiyo ianze, jumla ya fisi 16 wamekwisha kuuawa katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Itilima na kikosi kazi cha askari wa TAWA, TANAPA na Jeshi la Polisi.
Mamlaka yao ya mapato wako mwendo washafikia number N wakati sisi huku ndo kwanza tupo E
 
Sasa fisi wa watu wamewakosea nini hadi wawaue!!
Mkuu jitahidi kusoma contents ya habari ndio u comment.

Taarifa imweka bayana kwamba fisi wamekuwa wakivamia makazi ya watu na kuuwa watoto na wengine kujeruhiwa.

Sasa fisi anayejeruhi na kuuwa watu unataka wamfanyeje?
 
Saa moja watoto wanakuwa wamekaa kibarazani ama nje sasa unakuta fisi wamewavamia na kuwasababishia kifo ama majeruhi.

Ina maana watu waache kuendelea na ratiba zao kisa fisi kuingilia makazi ya watu?
Aaah mnawasingizia bwana.
 
Kibongo bongo usajili tumefikia E..
KIbongo bongo kanda ya ziwa wao usajili umefikia N.. Hapo ni N1 mpk N9 inaanza M1 mpk M9. Mpk Z9,
Kwa juhudi za Chief Hangaya
Usafiri piru kbsa
 
Back
Top Bottom