Daaaah! Mimi nawashangaa hawa waliokupa "LIKE", kwa kukubaliana na wewe hiki ulichoandika! Yaani nao wanaamini hivi?Goli la pili ndilo limewafanya wafuzu kwa kuwa na wastani mzuri
kama haufahamu kuwa INONGA ameitwa timu ya taifa basi LUC EYMAEL ALIKUWA SAHIHI.Najiuliza kule Afcon, wachezaji wa Mali watakuwa wanaongozwa na Diara kuja kambi ya Taifa stars kuwasalimia washkaji, naye Ki Azizi atakuwa anaesleta wabukinabe wenzake kuja kupiga stori na wabongo, Sijui Simba Wana mchezaji gani ambaye ameitwa kwenye timu ya Taifa na nchi yake imefuzu tofauti na Taifa stars?
Mayele ameisaidia Nchi ya DR Congo kufuzu michuano ya Afcon baada ya kuifungia bao la ushindi kwenye ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Sudani.
Na kwa akili yake waloitwa kufuzu ndo wote wanaenda kucheza kwenye tournamentkama haufahamu kuwa INONGA ameitwa timu ya taifa basi LUC EYMAEL ALIKUWA SAHIHI.
Wivu wa kitu gani?Acha Wivu..🤣🤣🤣
Uko wapi kaka yangu , nipo Mbeya tafadhali je ni namba gani naweza kutuma hela ya soda kwa hii wikiendi rafiki ?Labda mimi ndie ambae sielewi maana ya goli la ushindi yaani timu ishinde 2-0 halafu useme aliefunga goli la pili amefunga goli la ushindi!!? ILA ALIEWAITA UTOPOLO MBWA ALIONA MBALI.
rafiki mimi nipo hapa Namabengo MKOA RUVUMA KWA BINTI NDEMBO.Uko wapi kaka yangu , nipo Mbeya tafadhali je ni namba gani naweza kutuma hela ya soda kwa hii wikiendi rafiki ?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Dah Mungu akubariki umeitengeneza jumapili yangu yaani kutaja ulipo nimejikuta machozi ya furaha yananitirirka sana .rafiki mimi nipo hapa Namabengo MKOA RUVUMA KWA BINTI NDEMBO.
@chama konokono [emoji849][emoji849]Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi
Unajua mazingira, connection au alichelewa kuibuka maana DRC wanabebana sana.[emoji2956][emoji2956]
Huyu jamaa huwa ananishangaza sana kuwa ni kwanini katika umri mdogo hakuweza kuchezea ULAYA ?!!!
Kaliba ya uchezaji wake huikuti kwa "washambuliaji" wengi barani humu.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unatakiwa uunganishwe na wenzio walioko hospital ya MirembeWewe ni brigedia wa wajinga bila shaka
ZambiaNajiuliza kule Afcon, wachezaji wa Mali watakuwa wanaongozwa na Diara kuja kambi ya Taifa stars kuwasalimia washkaji, naye Ki Azizi atakuwa anaesleta wabukinabe wenzake kuja kupiga stori na wabongo, Sijui Simba Wana mchezaji gani ambaye ameitwa kwenye timu ya Taifa na nchi yake imefuzu tofauti na Taifa stars?
Sijui maagent hawamuonKweli maisha sio fair, Huyu jamaa alipaswa awepo Timu kubwa na Ligi kubwa huko Ulaya, Basi tu yaani.
We sema Kwa sauti ya chini isije OKW BOBAN SUNZU akakusikia,ahaaaaaMayele ameisaidia Nchi ya DR Congo kufuzu michuano ya Afcon baada ya kuifungia bao la ushindi kwenye ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Sudani.
Muhasibu anasurubika huko aahaaaMtaaluma wa takwimu haitaki Tena hio KAZI .
Mana ilichomfanya kwenye Nyuzi zake anajua yeye na ubongo wake .