Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ukilala kwenye yale magodoro usiku mzima utakuwa unafanya kazi ya kugeuza mbavu.Magodoro yake hayafai kabisa yanaumiza sana mgongo na ukiamka asubuhi unakuwa umechoka sana najuta kufanya sub na mshikaji nikamwambia godoro langu yeye akaniachia la GSM
Yale yanatumika jela kama apparatus sehemu ya mateso kwa ajili ya wale wafungwa wenye kesi kubwa