Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini


Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.

Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
acha uchochezi wewe. Mayele aache kutafuta sympathy baada ya mpira kumshinda, yeye aweke bidiii na aache kuchagua watu
 
Nimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Kama kweli wanaroga basi hatari. Viongozi wajiangalie tena
 
Kuna nchi tulikutana na Wana A. Mashariki wanne, Watatu Waliniambia wamewahi kuishi Tz, Wakaendelea kunitajia mikoa, wilaya hadi vijiji Walivyoishi.

Wakamalizia na Lakini, Nyie Mnapenda Sana Ushirikina.
 
Makambo kaondoka yanga akiwa wa moto ila alipofika Horoya akawa ni mtu wa kukaa benchi tu mpaka pale kiwango chake kikapotea...wakamrejesha tena Yanga ambapo hakuwa na cha maana tena.

MAJINI FC ni timu ya kitapeli ni sawa na wale jamaa wanaokukopesha pesa kwa dhamana ya bondi ila ukichukua tu pesa yao jua hutaweza tena kuurejesha mkopo wao na hatimaye utajikuta wamechukua mali uliyoweka bondi.
 
Mchawi wako ukimjua usimkalie kimya ...unatakiwa umchane hadharani ili akikufanyia ubaya tena watu wote waelewe kuwa ni yeye.


Mayele karibuni atarejea kwenye kiwango chake mara baada ya kuwachana walozi wake.
 
Ulitumia shilingi ngapi kumtengeneza.

Waliomtengeneza ni As Vita na ndiyo maana Yanga wakamwona.

Namna tu kuwaza.
 
Moderator na nyie mmepigwa majini'?. Kusanyeni nyuzi za Mayele mzipe update zimejaa mno.
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀🤣🤣
Hayo majini si yangechukua CAF huko afcon Rais mmoja wa DRC alipeleka waganga wengi kuliko washabiki huko World Cup mechi ya kwanza tu wakafungwa 9:0 akaamua kurudisha waganga Congo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…