Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Cc Tate Mkuu muongozo wako tafadhali

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa mimi nitatoa mwongozo gani tena na wakati watu wanabishana kuhusu majini ambayo sijawahi kuyaona kwa macho!!

Kuna watu hapo juu wanasema hadi wakina Pacome Zouzoua na wenyewe ni majini yanayocheza mpira! 😁

Nyinyi mashabiki wa simba acheni kuamini sana ushirikina bhana!
 
ndugu yangu,hii jamii forum ya sasa kiboko,Mtu anapata habari insta alafu anakuja kuweka comment jamii forum. Hajui kuna watu hiyo habari hatujaiona.
Hata mimi nimeachwa njia panda. Maana ninasikia tu sijui Mayele amegombana na baadhi ya mashabiki huko instagram kuhusiana na habari za majini! 😁
 
Yaani hyo timu ni majanga matupu.walianza kwa morrison kumroga kisa kaondoka yanga.leo wamehamia kwa mayele.ukiachwa achika
 
Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.

Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?

Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.

Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.

Mtasema tu wanga nyie.
Huyo mayela Jinga Sana,
Ameshindwa kuonesha kiwango chake kwa wajuaji, anatafuta huruma na visingizio mtandaoni
 
Ngasa alijificha alipotakiwa kusajiliwa na El merreikh. Hilo ni jini tu alitupiwa kwa akili ya kawaida hasingeweza kujificha. Jerryson Tegete alienda ulaya kufanya majaribio ila alikatisha kufanya majaribio ili kuwahi mechi dhidi ya simba. Hilo ni jini tu alitupiwa.
 
Yanga wenye akili hawazidi wawili..ila soon ukweli unaenda kuwekwa wazi..raia zishaanza kujambajamba..
 
Back
Top Bottom