Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Huna cha kuniongoza kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa uchawi. Huna. Kwenye hilo mind your business
Nikuongoze ili iweje kwa mfano?
I'm calling you out, that's all. I've been minding my busineess na mojawapo ni kuwatabainsha waamini uchawi kama wewe.
Pathetic.
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Majini ndio yanacheza mkuu..wanayanunua huko arabuni
 
Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.

Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?

Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.

Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.

Mtasema tu wanga nyie.
MAJINI FC.....MATAULO MEUPE FC...
 
Mtanzania maskin( shabiki utopolo) asie na uhakika na kula yake ana pata pesa ya kununua majini na kumrushia mchezaji mwenye uhakika na kula yake na mshahara minono sabab tu aliondoka kwenye timu yake..foolish.
 
Kumbe majini yao ndo huwatuma wakatoe vitaulo....aisee hawa wameshindikana
Mashabiki wema wapenda mpira wataogopa kwenda uwanjani kwenye mechi zao, mana majini yametapakaa kila kona
 
Lakini haya majini si ndugu zao na vijana wa mnyazi Mungu imekuaje tena wanayasema vibaya [emoji15]
 
Ndio shobo zenyewe Fei amekuwa bulled kwenye mitandao badala ya kukua kimpira ndio kazidi kushuka. Waacheni vijana wakatafute riziki.
Makolo msijitoe akili
Ona mlivyofanya ChamaView attachment 2901816View attachment 2901817
Screenshot_20240131-183328.jpg
 
Back
Top Bottom