Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Lakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.

Ila Mayele ana uswahili mwingi sana, akae kimya kabla hatujakumbushia mambo yake na akina Gigy Money.
 
Mpaka kufikia kuamini hivyo kwamba anatupiwa majini ana matatizo ya akili huyo.

Wasitupiwe majini akina Haller atupiwe yeye ambaye hana hata goli moja Afcon?
upo sahihi kabisa Mayele is frustrated with his own incapacity to score now ana wa blame watu wengine. Halafu akicheki Tz haongelewi tena Yanga inafanya vizuri bila yeye. Simba kakandwa 5 bila yeye. Yanga imeingia Champions league bila yeye. Ule ufalme wake Tanzania haupo tena so kaona ili azungumziwe basi aje na tuhuma ambazo yeye mwenyewe tu ndo anazijua...

Wanayanga wala hata hatuna muda nae. Striker mwenyewe wa kufunga kigoli kimoja kimoja ameridhika.

He was just a celebrity here. Apambane na hali yake no ones give a damn about him.
 
Lakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.

Ila Mayele ana uswahili mwingi sana, akae kimya kabla hatujakumbushia mambo yake na akina Gigy Money.
Hiyo sasa ndio bellow the belt

Hiyo sasa ndio below the belt.Kwanini msiyalete wakati muafaka?Why now anapolalamika viongozi wenu na wanachama wenu wanamtukana na kumtumia majini.
Mayele amejibu tu mapigo mkiacha na yeye ataacha.
Mnavyomtisha ndio inazidi kudhirisha kwamba anasema kweli.
 
upo sahihi kabisa Mayele is frustrated with his own incapacity to score now ana wa blame watu wengine. Halafu akicheki Tz haongelewi tena Yanga inafanya vizuri bila yeye. Simba kakandwa 5 bila yeye. Yanga imeingia Champions league bila yeye. Ule ufalme wake Tanzania haupo tena so kaona ili azungumziwe basi aje na tuhuma ambazo yeye mwenyewe tu ndo anazijua...

Wanayanga wala hata hatuna muda nae. Striker mwenyewe wa kufunga kigoli kimoja kimoja ameridhika.

He was just a celebrity here. Apambane na hali yake no ones give a damn about him.
Hawa ndio gongowazi in a netshell.
 
Hiyo sasa ndio bellow the belt

Hiyo sasa ndio below the belt.Kwanini msiyalete wakati muafaka?Why now anapolalamika viongozi wenu na wanachama wenu wanamtukana na kumtumia majini.
Mayele amejibu tu mapigo mkiacha na yeye ataacha.
Mnavyomtisha ndio inazidi kudhirisha kwamba anasema kweli.
Kwani sisi kosa letu lipi? Kayaanza mwenyewe nasi tunamkumbusha asichokoze vita ya mawe ilhali anaishi nyumba ya vioo.
 
Acheni wangaaaa...acheni kutupia watu madudu...
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
uran mbona uzi wa update wa Simba umefungwa? Au uliwahi sana?
Sijaona pa kukuulizia nimeona uzi wa Majini dela Fc umenoga nikasema nikuulizie hapa .. 😂 😂 😂 🐸
 
Back
Top Bottom